KadaMpinzani
JF-Expert Member
- Jan 31, 2007
- 3,715
- 93
Nafikiri tungependa kujua kwa nini Mbowe hataki kulipa mabilioni ya shilingi ya watanzania hadi leo ! ukizingatia shule kakimbia, and he has a history of physical violence alipopigana na mwenyekiti wake kwenye mkutano.