Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,103
- 43,350
ufedhuri wa MBOWE mbona mmeutia mfukoni ??
ni wewe ndiyo mwenye jukumu la kutuambia Mbowe alifunguliwa kesi za ubakaji lini na mahakama gani?
ufedhuri wa MBOWE mbona mmeutia mfukoni ??
Hakuna msemaji wa mbowe hapa, wewe umesema jambo ni wewe ulete unachotaka kusema, ni wewe umesema Mbowe anatuhumiwa kubaka mtoto/watoto wadogo miaka ya tisini na kuna kesi za kubaka mahakamani, umeulizwa mahakama ganni na zilifunguliwa lini.. hadi sasa unajiuma uma. Kama hujui sema sijui!
ni wewe ndiyo mwenye jukumu la kutuambia Mbowe alifunguliwa kesi za ubakaji lini na mahakama gani?
kwa kifupi umeshindwa kujibu wewe kama msemaji wake mbowe....sasa kamjadili rostam aziz na makamba na ccm as you always do, natumaini itafuata ushauri wangu kama MNYIKA alivyofanya !
nimemquote mwanakijiji anajibu mwafrika wa kike, What the hell ?!
ukiulizwa wewe unakaa kimya !
endeleeni kulia ! kimbieni basi kumjadili rostam aziz !
Ni wewe uliyelinganisha watu kulalamikia JF na sawa na mtu kulalamikia Tanzania, ulijaribu kulifanya liwe sehemu ya point na nikakuonesha haihusiani. Sasa kama mtoto miaka 7 anajua JF si nchi, inakuwaje mtu mzima ashindwe na kuilinganisha na nchi? Hilo limenishinda.
Siendelei kubishana, Kaa ukijua tu, by you saying what you said earlier, umechemsha big time!
well, yawezekana nimechemsha, kuliko mtu kusema kitu ambacho siyo tu hakikuchemka lakini kimedoda! Kama mtu anakandia nyumba anayolala, kwamba "inavuja, imeoza, inanuka" halafu kila siku anakuja kulala hapo utamwelewaje mtu huyo? Well kufuatana na mwelekeo wa mawazo yako utasema "usimkosoe, kwani kumkosoa ni sawa na kumkosoa mtu anayesema Tanzania inanuka rushwa!" wapi na wapi?
Sasa nimejaribu kukusaidia kukuonesha upotofu wa hoja yako, lakini naona ni jaribio lililoshindwa maana mifano mingine hata kuionesha kuwa ni mifano mibovu inakuwa ni kibarua!
Siendelei kubishana, Kaa ukijua tu, by you saying what you said earlier, umechemsha big time!
Nilichosema "earlier" bado kipo kiangalie nimesema nini. Sisemi maneno kwa kukurupuka kama mtu anayedai mbowa amebaka vitoto na ana kesi mahakamani halafu anashindwa kutaja hata mahakama yenyewe! Kila neno ninalotumia nalipima na kulipanga sisemi kwa kubahatisha.
Kama unakandia JF na kuiona kuwa ni ya Chadema, kwanini unashinda hapa? Hakuna mtu anafungwa kamba na kuburutwa! Hapa ni mahali huru na chadema haihusiki hata chembe; lakini hilo hamlitaki na badala yake mnapaona pabaya patamu!, kutema hamtaki kutema, kumeza hammezi, mmebakia kumumunya!
Mkjj,
hili ni somo ambalo kwa wengine inaonekana itahitaji miaka kulielewa. Mpe shule taratibu tu atakulewa!
Sawa basi Umeshinda bwana Mwanakijiji....
ushindi mwingine hauna furaha, kumshinda dada yako au mtu unayemheshimu hakuna furaha! so, sioni raha ya ushindi wa namna hiyo.
No hard feelings?
my dear.. I tried but my good was not good enough.. !
Not at all...wewe ni mzee wa hekima nyingi, sipendi utetereke! While in the spirit, naomba nipatie ile dosier ya Dual Citizenship basi? Nimesubiri weeeeeee?
Itaeleweka tu muda si mrefu ingawa wengine ni vichwa ngumu na hata shule itolewe vipi hawaelewi..... one day your good will grow up and be a very strong good .....
Itaeleweka tu muda si mrefu ingawa wengine ni vichwa ngumu na hata shule itolewe vipi hawaelewi..... one day your good will grow up and be a very strong good .....