Muulize Dotto James atakupa data zote.Bukililo mwogope Mungu,JPM alikopa wapi na kiasi gani?sawa mama Ana sahani mkononi lkn kuteuliwa ni majaliwa.
Waarabu hawaogopi ugaidi maana ndio utamaduni wao. Watawekeza kilimo cha tende hapaWafute kwanza hiyo kasi yao ya ugaidi wa michongo ili wawekezaji waje kuwekeza wakiwa na amani ya moyo,na uhakika wa usalama wa uwekezaji wao.
Ebu Tumwache aifungue nchiTulia wewe mama afungue nchi
Una elimu ya kiwango gani na hapa JF umejiunga mwaka gani?Awamu ya nne tulishudia Jakaya Kikwete akifanya ziara za nje huku akisahau kabisa masuala ya ndani ya nchi yake mpaka akapachikwa jina Vasco Da Gama.
Awamu hii nayo naona ni mwendo uleule. Juzi alikuwa Ulaya. Leo yupo Uarabuni.
Hii ishu ya Uarabuni asingeweza kuwakilishwa hata na balozi!
View attachment 2132065
View attachment 2131649View attachment 2131650
Tuna umaskin wa kufikiri kwa sanaAsiposafiri atapataje mikopo yenye masharti nafuu?
YesKwani mpaka rais asafiri ndio upate mkopo?
Acha uhuni, wizara ya fedha ina kazi gani?
Utakapogundua kama taifa tumekwama ni vile CCM na serikali yake wanavyoshindwa ku-utilize raslimali zenye impact kwa watu wengi.Maji yanayopotea baada ya mvua kunyesha mikoani,kama yangevunwa na kuhifadhiwa na kutumika kwenye kilimo cha umwagiliaji,hakika kusingekuwa na uhaba wa ajira.
Tengeneza mabwawa,hifadhi maji,tengeneza schemes za umwagiliaji,ingiza nchini zana za kisasa za kilimo,wakopeshe vijana walipe miaka 5 mpaka 10 kwa riba ndogo,wezesha watanzania waongeze samani hayo mazao kwa kuyachakata hapahapa na kuyapack vyema na hatimaye kuyauza huko nnje yakiwa yatari.
Kama ambavyo ndugu Chige aliwahi andika kuhusu "multiplier effects" za kwenye LNG, ndivyo ilivyo pia kwenye kilimo.
Huyo ni sisiemu kindakindaki, usidanganyike na avatar!Wasiosafiri washafanya kitu gani cha maana hapo ufipa?
Unauliza jibu?Wasiosafiri washafanya kitu gani cha maana hapo ufipa?
Hapana mkuu huyu jamaa ni wale waliokuwa Chadema asilia, mwaka 2015 baada ya mwenyekiti kuvuta mpunga na genge lake kisha kutaka kuwatumia baadhi ya vijana wawasaidie kumsafisha mtuhumiwa wao wa ufisadi (mh Lowasa) ili aje kuwa raisi wa Tz ndo hapo jamaa alipokataa kufanywa zoba kwa masilahi ya viongozi wa juu wa chama.Huyo ni sisiemu kindakindaki, usidanganyike na avatar!
Ahaa, mimi ni McdM originalHapana mkuu huyu jamaa ni wale waliokuwa Chadema asilia, mwaka 2015 baada ya mwenyekiti kuvuta mpunga na genge lake kisha kutaka kuwatumia baadhi ya vijana wawasaidie kumsafisha mtuhumiwa wao wa ufisadi (mh Lowasa) ili aje kuwa raisi wa Tz ndo hapo jamaa alipokataa kufanywa zoba kwa masilahi ya viongozi wa juu wa chama. Akaamua kujitoa katika ushabiki wa chama hicho na kuwa mtupa madongo wa pande zote mbili ( yani CCM na CDM). Yani jamaa haipendi CCM ambayo ilionekana hapo kabla kumkumbatia waliemwita fisadi (mh Lowasa) na pia haitaki kabisa kuisikia na wala kuiamini Chadema kutokana na unafiki na uongo mkubwa waliofanya viongozi wao dhidi ya mh Lowasa na CCM kwa ujumla. Kifupi jamaa amesimama katikati, hana Chama maalum.
Natambua mkuu ndo maana nimemjibu kijana kama ulivyoandika hapa kwenye hivyo vi mabano. Kuwa ww ni CDM asilia sio wale CDM masilahi wanaoishi kupitia mfuko wa mwenyekiti wao ili wakubali kubadili misimamo yao na kuuza utu wao."mimi ni McdM original"