Je, huyu Rais wetu wa sasa ni Vasco Da Gama mwingine? Ziara za nje zimekuwa nyingi sana kama enzi za Awamu ya Nne

Yeye kama rais anaweza kusimamia na likawezekana.
Hafanyi mwenyewe. Shida ni chama na wanasiasa waliomo kutanguliza interest zao before nchi.
Is why lazima ubinafsi uondoke kwanza.

Otherwise wata saboge hizo jitihada over and over again
 
Kukopa ni akili ya kimasikini sana.
Unakopaje sasa wakati raslimali tele.
Kukopa ndio akili ya kitajiri. Pesa yako mwenyewe unatumia katika mipango mingine.

Pesa ya mkopo unatumia kwenye mipango ya mkakati na ya muda mrefu.

Matajiri wengi wanakopa na kutajirika vile vile maskini hawakopi - na wanabaki maskini .
 
Mama anatakiwa atengeneze long term plan na leadership ambayo haitategemea aina ya rais. Yaani aangalie ni namna gani rasilimali tulizonazo zinaweza ku finance maendeleo yetu. Yeye badala yake anaendq kukopa mikopo ya ujenzi wa madarasa???? Yaani unaenda kukopa hela za kuwekea rehani resources zetu??? Nadhani ile timu ya wachumi angeitumiq ila kwa sasa anapuyanga tu Mama. Mungu atusaidie maana huko mbeleni watoto wetu watatushangaa sana maana watakuta kila rasilimali ya nchi tumekikopea
Long term plan ipi?

Yeye amekuta mega projects za mjomba Magu in progress bila pesa ya kuimaliza kwa wakati kama SGR,na nyingine.Na uwezo wetu ni mdogo mno kufanikisha miradi hiyo mikubwa.Sasa ulitaka afanyeje?

Pili sio kila ziara yake ni mikopo,unajua kwanini alienda kwenye ziara ya EXPO Dubai 2022?

Kazi mmoja wapo ya Raisi ni kukutana na viongozi mbalimbali ulimwenguni ili kukuza mahusiano ya kiuchumi,Usalama,Tekinologia, Biashara, Mazingira,Nishati,Elimu,Afya n.k
 
Kukopa ni akili ya kimasikini sana.
Unakopaje sasa wakati raslimali tele.
na hizo rasilimali tele unamuuzia nani au zinakufaidisha vipi kama utakua hauna mahusiano mazuri na watumiaji/watu unaotegemea kufaidika kutoka kwao......
 
na hizo rasilimali tele unamuuzia nani au zinakufaidisha vipi kama utakua hauna mahusiano mazuri na watumiaji/watu unaotegemea kufaidika kutoka kwao......
Nchi gani iliyoendelea kwa mikopo au kutwa kiguu na njia.
 
Kukopa ndio akili ya kitajiri. Pesa yako mwenyewe unatumia katika mipango mingine. Pesa ya mkopo unatumia kwenye mipango ya mkakati na ya muda mrefu. Matajiri wengi wanakopa na kutajirika vile vile maskini hawakopi - na wanabaki maskini .
Kukopa Ili ujenge madarasa hio pesa inarudije pili tangu UHURU ni mabingwa wa kukopa lakini tija ni sifuri
 
Nchi gani iliyoendelea kwa mikopo au kutwa kiguu na njia.
na nchi gani iloendelea kwa viongozi kukaa nyumbani tu....ifikie hatua tuache kulalamika sana...sababu nchi zilizoendelea kuna watu walisafiri sana karne za nyuma huko ili kuzisaidia kufikia hapo zilipo....
 
Yule jiwe a.k a mzimu wa sukuma gang ndiyo amesababisha yote haya. Aliua biashara zote kubwa na ndogo kwa kupora fedha za watu. Vyanzo vyote vya Kodi vikafa. Akawa anakopa hovyo tena kwa siri kubwa mikopo ya kibiashara ambayo riba zake ni kubwa.

Mama hana namna lazima asafiri ili apate mikopo, maana nchi imeachiwa matatizo na madeni makubwa na jiwe.

Asante mama endelea kuinusuru nchi.
Acha kumtukana marehemu,subiri tuone jinsi nchi inavyofeli na hii mipango yenu na kujaza wezi serikalini kushindwa kuko wazi bila chenga.
 
Maji mfano kule Musoma vijijini bado yalikua yanatoka kwa shida
Koma wee! Musoma vijini ni full maji, mvua za kutosha, ziwa mwanana, plus samaki, sato full lami kutoka makojo, Mwanza , Mugango rusorya, Bwai kwitururu, bisarye mpaka Mwanza!!

lami imepita chini ya ziwa mpaka ukara hadi UK!! weweee chezea Musoma weye??
 
na nchi gani iloendelea kwa viongozi kukaa nyumbani tu....ifikie hatua tuache kulalamika sana...sababu nchi zilizoendelea kuna watu walisafiri sana karne za nyuma huko ili kuzisaidia kufikia hapo zilipo....
Mbona jpm mkapa Mwinyi awakusafiri na walifanya waliyoyafanya
 
Mama anatakiwa atengeneze long term plan na leadership ambayo haitategemea aina ya rais. Yaani aangalie ni namna gani rasilimali tulizonazo zinaweza ku finance maendeleo yetu. Yeye badala yake anaendq kukopa mikopo ya ujenzi wa madarasa???? Yaani unaenda kukopa hela za kuwekea rehani resources zetu??? Nadhani ile timu ya wachumi angeitumiq ila kwa sasa anapuyanga tu Mama. Mungu atusaidie maana huko mbeleni watoto wetu watatushangaa sana maana watakuta kila rasilimali ya nchi tumekikopea
Kuna wakati hata zoezi la kuchangia damu lilitegemea ufadhiri kutoka NGO za nje, Enzi za Dr Mwinyi...
 
Baada ya kusimangwa sana kuhusiana na masafari ya kila kukicha ya kwenda ughaibuni, Rais wetu amebuni mbinu mpya.

Sasa hivi anasafiri kimya kimya. Hatoi taarifa kama hapo awali.

Jana tumeshtukia tu yuko Dubai anapiga picha sijui na akina nani wale!

Mwanzoni tulizoea vyombo vyote vya habari vinatangaza kuhusu safari zake. Na akiwa anaondoka wanapanga mstari mnyoofu kumsindikiza. Akirudi pia wanapanga mstari kumpokea.

Vipi kulikoni? mbona ghafla safari zimekuwa za kinyemela? Ni mwendo wa kimya kimya!

Hatujaona ile mistari ya kuagana na kupokeana. Hata ikulu hawatuambii lolote.

Kama safari ni jambo jema, hakuna haja ya kujificha.

Si nimesikia mnafungua nchi sijui?
IMG_20220227_171558.jpg
 
Back
Top Bottom