Moderator Habari
Ulinisaidia swala frani hivi
Kwa ufafanuzi wako mzuri
Na Mimi Nikakushukuru vizuri Sana
Lakini hujajibu
Kila siku nafresh Labda ntaona Asante yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya Haya MadamAsante kwa kushukuru
Mada gani ilikuwa?
Majanga majanga ehHi G.. nilijua utalala
0115Umezingatia time, kongole mkuu.
Sikumbuki vyema tena, mliniboa sana.
Mmesababisha mpaka sasa sifahamu kama Fatuma Karume kama ana familia ama laah.
(Halafu kuna mod anaitwa Farida pls mfikishie salamu zangu kama ukionana nae hapo ofisini)
Nataka niwe nawanyoosha watu na mm sasa nawapa Ban tu msiokuwa na nidhamu.akikujibu ni-tag
Cookie nataka kujua mfano nikitaka kuwa mod wa humu nafanyaje ni bure tu najitolea sitaki hela wala chochote labda kama kuna malipo hapana mm nataka kujitolea tu nifanyeje au kuna njia gani natakiwa kufuata iliniwe mod na mm?
weka link mkuuWakati nafasi za kazi zinapotangazwa hapa unakuwaga wapi?
Nafasi za kazi za JamiiForums
Haya Haya Madam
https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1711934/
Sent using Jamii Forums mobile app
Siku ziona hizo nafasi cookie ndio kwanza najua leo kama huwa nafasi mnatangazaga humu kwahiyo saiz nafasi zipo au hakuna tena mm najitolea tu nataka niwenanyoshe watu na mmWakati nafasi za kazi zinapotangazwa hapa unakuwaga wapi?
Nafasi za kazi za JamiiForums
Kwa unoko huo unaotangaza kabisa hawatakupa😂😂Siku ziona hizo nafasi cookie ndio kwanza najua leo kama huwa nafasi mnatangazaga humu kwahiyo saiz nafasi zipo au hakuna tena mm najitolea tu nataka niwenanyosha watu na mm
Siku ziona hizo nafasi cookie ndio kwanza najua leo kama huwa nafasi mnatangazaga humu kwahiyo saiz nafasi zipo au hakuna tena mm najitolea tu nataka niwenanyosha watu na mm