Bbade
JF-Expert Member
- Mar 15, 2013
- 6,725
- 21,804
Kisa nilikuita Kaka ndio ukanitupa?Nawasalimu waungwana...
Kisa nilikuita Kaka ndio ukanitupa?Nawasalimu waungwana...
Ni pombe ya kienyeji ambayo mnywaji kabla hajatumia inabidi afunge suruali kwenye miguu kwa kutumia kamba "inasemekana lakini"Sawa wanicheka
Kama mtupo wa jongoo na mti wake.Kisa nilikuita Kaka ndio ukanitupa?
Ya mchele au ya nazi?
Ni pombe ya kienyeji ambayo mnywaji kabla hajatumia inabidi afunge suruali kwenye miguu kwa kutumia kamba "inasemekana lakini"
Asante sana, ila kama ni fresh situmiiKaribu maziwa , hicho kinywaji chako nimekikataa
Mmh, ya ng'ombe itapendeza zaidi.
Mkimwona Chalii na yule Mkenya waambieni nawasalimia.
Asante sana, ila kama ni fresh situmii
Mgando itapendezaChangua yapo ya kila aina
Mgando itapendeza
Ya ng'ombe wa kienyeji halafu ya packet/ya kunyonya yapo?Changua yapo ya kila aina
Ya ng'ombe wa kienyeji halafu ya packet/ya kunyonya yapo?
Jamani ndio niliokuwa nataka kukupa....sema ndio ukanipa mawazo ulipo uliza....nikajua mambo ya allergy
Sukari kiasi ili kuongeza utamSukari au bila sukari.
Wengine tusiwe na usiku mwemaBbade uwe na usiku Mwanana. Ngoja nijipumzishe huku baridi mno