Hope urassa
JF-Expert Member
- Aug 22, 2017
- 4,590
- 11,379
0048
Sadali nime fika, kijana ume potea😀bila ya sadali wangu Intelligent businessman hamna kitu humu FREE HIM
nipo kaka, hahahaha intelli
Tatizo ni wapuuzi wachache wanao jaribu kutafuta attention.Sijui this time kazingua wapi?
Hahahahaha..11:58 Mwanamke anapiga virungu kama mgambo"
😁😁😁😁
Bi hidaya katisha03:32
Uzi umepoa au ndo mnamsikilizia Binti Hidaya.
Weeeeeeh em tuambieni huko mlioko Pwanii.Bi hidaya katisha
Nimetoka hapo muda si mrefuManzi aliyepo kijichi getway time hii tuchekiane tufanye jambo
Hahahahaha..mie hata sijui nn kinaendeleaWeeeeeeh em tuambieni huko mlioko Pwanii.
Mambo kunaendaje usiku huu.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😭😭😭😭😭😭😭😭😭😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😁😁😁😁😅😂😂😂Kuna bosi kampelekea umbea mtoto wa kike inbox 😁😁😁😁
Itakua huko vyombo wewe.Hahahahaha..mie hata sijui nn kinaendelea
Haya mie sipo huko😁😁😁😁😅😂😂😂Kuna bosi kampelekea umbea mtoto wa kike inbox 😁😁😁😁