Maxmizer
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 4,799
- 4,231
nipo ila ndo nalala
nipo ila ndo nalala
Namalizia ukaguzi,subiri nifike usaini out ndio ukalalenipo ila ndo nalala
shem acha utani...mirembe tena??Nawatafuta hawa jamaa zangu nilipoteana nao tangu 2017 naomba yeyote mwenye contact zao anisaidie au awaambieni waje kuniona nimelazwa Mirembe kwa ajili ya kuwamiss:-
1.jje's
2.Neybright
3.Manga ML
4.Nleterewa Nganengo
5.Good Samaritan
6. ArleN
7. Hb wa kigogo
8.Kichwa Kichafu
9. Joseverest
10.wewe hapo......
Ujumbe: Nikifa kabla hamjaja kuniona msije kunizika!
Nimekuja kipenzi
BadooooWatoto mmeshalala???
[emoji137] [emoji137] [emoji137] [emoji137] [emoji137]Mpoooooo humu ndani?
Nawasalimia wote [emoji137][emoji137][emoji137][emoji137][emoji137][emoji137][emoji137][emoji137][emoji137]
NimekuhamuHii hali ya taifa inafanya hata huku tushindwe kuwa active
Nipo macho hapaHuu uzi umekosaaa mashiko mapema tu mmeshalala wacha Nichat peke angu
[emoji8] karibu sanaNimekuja kipenzi
Tunashangilia ushindi mkuu....Wapenzi wa mpira Leo hawaonekani humu.timu zao zimechapwa
Naona. Barca naye kapiga MTUTunashangilia ushindi mkuu....