Manga ML
JF-Expert Member
- Jul 6, 2013
- 9,816
- 15,578
Mambo vipi?Wapi shem?
Mambo vipi?Wapi shem?
Ha ha haaa hafu nilipotea kitambo leo kuchungulia nakukutaNi pia aseeh jombaa.
Naona mida yako.
Nakatisha katisha humu nione yaliyojiri kutwa.Ha ha haaa hafu nilipotea kitambo leo kuchungulia nakukuta
Na mimi ndo zangu siku hiziNakatisha katisha humu nione yaliyojiri kutwa.
Kwema aseeh.. hii mida yako ya kuwinda kabisa inajionyesha.Na mimi ndo zangu siku hizi
Kwema huko
Hapana kuwinda kulinishinda napita kuangalia yenye kufaa tuKwema aseeh.. hii mida yako ya kuwinda kabisa inajionyesha.
GayoMashikolo mageniii
[emoji23][emoji23][emoji23]Mida ya wachawi hiii vip hujasikia vishindo ndani kwakoGayo
Ushapita nadhani saba to nane ndo hatari zaidi[emoji23][emoji23][emoji23]Mida ya wachawi hiii vip hujasikia vishindo ndani kwako
Oky bhn tuendelee kupambana na mbu badala ya wachawiUshapita nadhani saba to nane ndo hatari zaidi