Inna
JF-Expert Member
- Jan 13, 2017
- 11,194
- 27,089
Kudadekiiii babu haupo seriousTutabanana hapohapo...
Kudadekiiii babu haupo seriousTutabanana hapohapo...
Salama mkuu mola yu mwema tunapumuaHabari zenu watu wa Mungu
ShilawaduNakuona nakuonaaa
Stakiii ntamu cc sky eclatUsimwambie mtu lakini, siri yetu hii.
Kwanini nisiwe serious? We hupendi kubanana na babu?Kudadekiiii babu haupo serious
Ndyo unayo?Ndio shida yako?
Sasa mambo ya babu na mjukuu, bibi yanamhusu nini?Stakiii ntamu cc sky eclat
Kwa staili hii akirud c mtavurugana au wivu yye hanaKaenda kusalimia ukweni. Wiki mbili nyingi sana...
Za majukumu kamanda mgunga poriSalama mkuu mola yu mwema tunapumua
Sasa nani atamwambia? Hivi watu hawaogopi laana ya babu??Kwa staili hii akirud c mtavurugana au wivu yye hana
Aaah usijali kabisa ata yule anduje wake Ivuga simwambiiUsimwambie mtu lakini, siri yetu hii.
Sema mkuu acha wogaHyaaa mkuu nashukuru
Endelea kumuona tuNakuona nakuonaaa
unajiona unafanya poa sio?Njoo uchukueNdyo unayo?
Nan huyo etiiiKuna mtu leo kawaisha nmempiga fine
Safii mkuu tupo na tz yetu hii hauchii hauchii kumekuchaZa majukumu kamanda mgunga pori
Tupambane tu hamna namna, vip weekendSafii mkuu tupo na tz yetu hii hauchii hauchii kumekucha
Wanadam mzee wanasema utanyimwa pesa ila maneno hunyimwiSasa nani atamwambia? Hivi watu hawaogopi laana ya babu??