Papaa Gx
JF-Expert Member
- Oct 10, 2016
- 11,508
- 18,668
Mkuu ahadi gani mliweka na huyo kiumbe?Unakumbuka ahadi yetu?
Mi nakuangalia tu...
Mkuu ahadi gani mliweka na huyo kiumbe?Unakumbuka ahadi yetu?
Mi nakuangalia tu...
Bibi hayupo... aliniruhusu nikuhamishie kwangu unikate kucha.Mwambie bibi akubembeleze bas apo usingz urudi
Usiache mbachao kwa msala upitaoww jana juzi ulivyo nifanyia ukaona poa eti?![]()
Nimemwona ile series imemuharibu kichwaAmekuwa frustrated na wale wana Forex manake alikuwa ana count episodes tuu
Mambo ya ngoswe mwachie ngoswe mwenyewe...Mkuu ahadi gani mliweka na huyo kiumbe?
Mkuu nilipenda avatar pekeee na sio person behindUnamtaka?
Mzee kwan Sky amesafirNimeona mwandiko wako usingizi ukakata...
Alafu nilale wap kichumba chenyew ndo hikoo??Bibi hayupo... aliniruhusu nikuhamishie kwangu unikate kucha.
Uliza kwa sauti wakusikiePapuchi zimo umu?
Kaenda kusalimia ukweni. Wiki mbili nyingi sana...Mzee kwan Sky amesafir
Tutabanana hapohapo...Alafu nilale wap kichumba chenyew ndo hikoo??
Ukimuhitaji niambie ata namba nitakuombea ukihitaji, niko nae kitaa kimoja.Mkuu nilipenda avatar pekeee na sio person behind
Sawa babu we fanya tuMambo ya ngoswe mwachie ngoswe mwenyewe...
Siri ya mtungi, aijuae kata.
Ndio shida yako?Papuchi zimo umu?
Usimwambie mtu lakini, siri yetu hii.Sawa babu we fanya tu
Hyaaa mkuu nashukuruUkimuhitaji niambie ata namba nitakuombea ukihitaji, niko nae kitaa kimoja.
Nakuona nakuonaaaHabari zenu watu wa Mungu