Inna
JF-Expert Member
- Jan 13, 2017
- 11,194
- 27,096
HajanukuuTaarifa ipo kwenye OB labda in charge Thad haku nukuu matukio ya wiki
HajanukuuTaarifa ipo kwenye OB labda in charge Thad haku nukuu matukio ya wiki
[emoji23][emoji23][emoji23] msamehe hakujua bhanaHebu futa kauli na uniombe Radhi.
Mwambie afute kauli.Nani kakwambia huyo ni shosti?? Utakabwa ww mtoto
Siku hizi geti linafunguliwa mapema ivooo[emoji15] [emoji15] [emoji15]Hahahaaaa nmeonaa ..pole
Ila huyo rafik angu hana shida atakua amekuelewa umechanganya madesa
[emoji15] [emoji15] [emoji15] madili gani usiku huu,,???naww unaroga!??Aisee umefuata nn huku utaniharibia madili
Na mimi nilitulia nikijua lazma urud sio kawaida yako..hope umepata nzur zaidiNilihamia kwenye tochi. Na kumbuka sana tu mwaka bado mchanga.
Hahahaha,mkuu heshima yako,jina limenichekesha sana hiloMwambie afute kauli.
Ameomba radhi jamn msameheMwambie afute kauli.
Kuna mtu leo kawaisha nmempiga fineSiku hizi geti linafunguliwa mapema ivooo[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Amejikata mitama huyo. Amezingua[emoji23][emoji23][emoji23] msamehe hakujua bhana
Mbona hujachelewaaSiku hizi geti linafunguliwa mapema ivooo[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Hata mimi nashangaa popoz zimeshatia timu hapaHii ni hatari muda wa popo bado.
Ni kabidhiwe mie kwa muda hata leta ukorofi naahidInna leo sitaki mazoea mwenye mali yupo
Nigawie na mimi nishushie hasiraKuna mtu leo kawaisha nmempiga fine
Muda wa kuku kulalaHata mimi nashangaa popoz zimeshatia timu hapa
Wanzuki na dengelua ipo mkuuKwa mangi Leo kuna ofa ,mkuje
Nilikuwa nakatiza nje nikachungulia nikakuta geti lipp wazi ndio nikasema ngoja niingie nione akina nani wapo humu ndaniMbona hujachelewaa
Afadhali ata leo mumu yupo utatuliaAisee umefuata nn huku utaniharibia madili