dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,802
- 20,296
Haya bana, ila kizur alishakujibuJipe matumaini tu
Haya bana, ila kizur alishakujibuJipe matumaini tu
Comrade unakimbilia wapi mapema yote hii.Usiku mwema naona sasa unakoenda, siko ila mficha maradhi kifo humuumbua
Achana nae huyo ana wivu wa ajabu
Upo mahali salama kabisa mkuunilikuwa naenda uwani nikajisahau nikaja jf
AsanteeSilali nipo hapa kwa ajili yako mamiye!!![]()
usiondoke kabla yanguSawa!! Mamiye nimekuelewaAsanteeusiondoke kabla yangu
Saizi huyu kiumbe anafunga kamba juu ya kenchiAsanteeusiondoke kabla yangu
Kweli ni ww unasema hivyo?Achana nae huyo ana wivu wa ajabu
Msubili akija utamjibuHaya bana, ila kizur alishakujibu
Mwalimu wako NleterewaRafiki yangu Inna, nani kakufunza huo uchochezi?
Sawa mkuu endelea kufaidi matunda
Akili yangu nyembamba haijajua methali....nimeficha maradhi gani?Usiku mwema naona sasa unakoenda, siko ila mficha maradhi kifo humuumbua
Sio lazimaHamlali.....
Itakua kuna mtu apa kashika simu ynguKweli ni ww unasema hivyo?
Nan huyo??? KAMANDA WEWE LALA USIJE PATA VIDONDA VYA TUMBOMsubili akija utamjibu
