Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,402
- 31,652
Usiku mwema chepe kwa chepe120230 East African Time, January 2018.
Usiku mwema chepe kwa chepe120230 East African Time, January 2018.
Unaona sasa, ila utatibiwa tu dokta yupoAkili yangu nyembamba haijajua methali....nimeficha maradhi gani?
Ngoja nikatafute mashahidi wangu, maana wakili wewe sikuweziLeo naona mkuki kwa nguruwe nakuona nakuona nataka niwe wakili kabisa Leo hapa
Asante kwa ushirikiano wako, lala salamaUsiku mwema Nimeambiwa nilale nisije pata vidonda vya tumbo.
Nilikuona!Usiku mwema chepe kwa chepe
0408 popo mdo mdo tu3:00
Boss popo wamedissolve kimya kimyANaona watu washa mbonji ado ado
Pia naweza kuwa shahidi yako njooNgoja nikatafute mashahidi wangu, maana wakili wewe sikuwezi
Sawa mkuu endelea kufaidi matunda

Tumelala mkuuHamlali.....
Mpepotea wote kwa pamojaNipo kamandaaaa
Na kipenz changu hapa Inna
