spade4spade
JF-Expert Member
- Jun 5, 2014
- 2,207
- 2,158
Yaani tHAd na InNA mna mambo jamani!Haya Inna zamu yako kunitafasilia ....![]()
![]()
![]()
Yaani tHAd na InNA mna mambo jamani!Haya Inna zamu yako kunitafasilia ....![]()
![]()
![]()
Nan huyo mtaje aje tupimane ubavuAna andunje wake chunga sana
Asante kwa kuja....Imenibidi nikimbie kwa speed ya light kuja kukutazama bibie
Ohooo wasiwasi wa nini tena best?Mmmh unatutia waswas sasa
Jamn huyo ni rafik angu kipenzi...acha uchocheziInna kapanga msululu wa maana yaani
Mwambie huyo ajue na atambueUlikua hujui comrade, ni zaid ya laaziz
Umemficha wapi rafiki yangu jje's jamani?Kila abira achunge mzigo wake haya acha yangu macho yaone![]()
![]()
![]()
![]()
Hb wa kigogo au ArleN?Safii Bado endelea kuwataja wengine
Kwann ww unataka kua shemeji tu ...au mwalimu nleterewa anafanya mambo kisir sirOhooo wasiwasi wa nini tena best?
Jifanye fanye tu hapaMwambie huyo ajue na atambue

Kalale tu ndugu yangu, vinginevyo wivu utakufanya uhamie Mirembe boardingMara hii amekuwa laaziz wako.!??![]()
Jaman ashukuriwe aliyekuamsha leo tumekumiss zaid...panya ndo kakushtua nn??

Atakuwa mjr95Hb wa kigogo au ArleN?
Usiku mwema naona sasa unakoenda, siko ila mficha maradhi kifo humuumbuaHb wa kigogo au ArleN?

Ngoja aje Saint IvugaNan huyo mtaje aje tupimane ubavu

Rafiki yangu Inna, nani kakufunza huo uchochezi?Kwann ww unataka kua shemeji tu ...au mwalimu nleterewa anafanya mambo kisir sir