dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,802
- 20,296
OK..Ukimaliza kupiga story na jamaa hapa utanikuta room..Mi natanguliaI love you moree
Utapata kesi ya kuua shauri yako we endelea tu.I love you moree
Umeambiwa jimbo liko wazi![]()
acha kujifanya huoni
mimi na majimbo wapi na wapi? Mie raha yangu ni kuitwa shemeji tuJamani mi nimefanya nn tena?Mjr95
Rafiki kipenzi nilikumissHuu mtaa unasikitisha sahv hamna popo ata mmoja...baridi nn
Imenibidi nikimbie kwa speed ya light kuja kukutazama bibieNawatafuta hawa jamaa zangu nilipoteana nao tangu 2017 naomba yeyote mwenye contact zao anisaidie au awaambieni waje kuniona nimelazwa Mirembe kwa ajili ya kuwamiss:-
1.jje's
2.Neybright
3.Manga ML
4.Nleterewa Nganengo
5.Good Samaritan
6. ArleN
7. Hb wa kigogo
8.Kichwa Kichafu
9. Joseverest
10.wewe hapo......
Ujumbe: Nikifa kabla hamjaja kuniona msije kunizika!
Mmmh unatutia waswas sasa![]()
![]()
mimi na majimbo wapi na wapi? Mie raha yangu ni kuitwa shemeji tu
Ujue leo watu wengi hawapo.... No Escape au Manga ML?Leo unajifanya humjui, haki ya nan!!![]()
Mara hii amekuwa laaziz wako.!??Kwanin kamanda
Kwanza unashtaka kutoka kwa laaziz wangu naomba ujibu mara moja![]()


OK..Ukimaliza kupiga story na jamaa hapa utanikuta room..Mi natangulia




Kila abira achunge mzigo wake haya acha yangu macho yaoneYupi huyo? Neybright au jje's?

Safii Bado endelea kuwataja wengineUjue leo watu wengi hawapo.... No Escape au Manga ML?
Jaman ashukuriwe aliyekuamsha leo tumekumiss zaid...panya ndo kakushtua nn??Rafiki kipenzi nilikumiss
PoaOK..Ukimaliza kupiga story na jamaa hapa utanikuta room..Mi natangulia
Inna kapanga msululu wa maana yaaniRafiki kipenzi nilikumiss
Ulikua hujui comrade, ni zaid ya laazizMara hii amekuwa laaziz wako.!??![]()
Ana andunje wake chunga sanaUlikua hujui comrade, ni zaid ya laaziz