JamaniiiiYupo na dingi au mwifwa
Mimi je??Nime kumic
Mwifwa kaniambia nichelewe kufungua get mana anapiga vyombo kwanza...dingimtoto kasema yupo viwanjaYupo na dingi au mwifwa
Upo poa lakin mmyJamaniiii
My dear uko wapi mbona kimya hivyo?Mimi je??
Nipo aisee niende wapUpo poa lakin mmy
Nipo baba akeeMy dear uko wapi mbona kimya hivyo?
Anadai ni shepherdMkuu hao pupy ni breed gani chief
Aisee nimemicNipo baba akee
Ninavyomjua huyo bibie wikend hii atakuwa na kipenzi chake IvungaYupo na dingi au mwifwa
Nzurii..nitoe bas weekend mana unansingizia nko viwanjaZa wikend bi mdada?![]()
![]()
![]()
Mke Mi nalalaDingimtoto
Ipogolo
Cofta
Nleterewa
Mwifwa
Kichwa kichafu
Kibumbu
Youngblood
Neybright
Jje's
Hawa wote wametekwa
Mwifwa kaniambia nichelewe kufungua get mana anapiga vyombo kwanza...dingimtoto kasema yupo viwanja
Inaonesha ulikuwa na wote wawili!Nani yuko macho aagize bapa kubwa nakuja kulipa sahizi
