JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Hivi kwanini hizi salamu za kutakiana heri ya mwaka mpya, mimi zinaniruka? Yaani kila ninapokatiza nakuta watu wamepeana hizo heri ila mimi sipewi [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
Tatizo huji ofisini nikikuita ndio maana salamu zinakupita tu.

Heri ya Niu Iyaa Mwanafunzi mtiifu
 
Back
Top Bottom