SectionTwenty
JF-Expert Member
- Aug 3, 2013
- 675
- 614
Mi nmechelewa kuingia ndani... Kidogo nifungiwe mlango
Tumalizie lindo mkuuMi nmechelewa kuingia ndani... Kidogo nifungiwe mlango
Uchochezi huooMara ya mwisho niliyaona wakati naelekea kwenye azimio la Arusha, yalikua yameandikwa kwenye gauni aina ya krinplini alilokua amevaa, mke wa mlowezi mmoja kutoka wingereza![]()
![]()

Hiyo kahawa iko wapi?Kama kawa kama dawa kubundi na kupopo ndo za Kasie hizoo. Kulala majogoooo mlio macho haya kuna kahawa, wine, maji ya kawaida ya kunywa, juice, chai ya mdalasini, na nsenene.
Self service...
Ever Smiling Kasie.
Hiyo kahawa iko wapi?
01:16 A.MSaa ngp huko Kwa naniliu?
ndo wapi huko au kwa Zimbabwe kwa Munangagwa?01:16 A.M
Asanteeee mie chai ya mdalasiniKama kawa kama dawa kubundi na kupopo ndo za Kasie hizoo. Kulala majogoooo mlio macho haya kuna kahawa, wine, maji ya kawaida ya kunywa, juice, chai ya mdalasini, na nsenene.
Self service...
Ever Smiling Kasie.
Ndio nzuri iyo mvuaDaaah hii mvua
..,.Yap...Yap...Oi oi