Nathan06
Senior Member
- Oct 7, 2016
- 149
- 163
Weka picha tuone hali yakeNauza tecno s1 65000 nimetumia wiki mbili. Haina tatizo lolote kila kitu chake kipo. Nauza kwasabab naenda shule
Ilikuwaje ? Ulimuwa unawaonaAman iwe nanyi wapendwa
Ndugu kama uko macho usifumbe hata kidogo huu ndo mda wa wachawi kufanya yao
Watakuchezea wanavyotaka na kukugeuza geuza wanavyotaka
Huu ndo mda wa kwenda kujenga maghorofa ya watu usilale bora tu uchukue biblia yako usome au quran yako usome
Usilale mdau
Mimi nimezaliwa familia ya kichawi kwahiyo najua mbinu zote za wachawi
Huu ndo mda wale walioa hubak na fisi kitandan na wake zao huenda kwenye uloz
LONDON BABY
kwa sisi wachelewaji acha tumalizie Lindo.Muda mzuri huu
Hii ndio ile pombe yenye nyoka ndani amaa?
Kukikucha ntaazima simu nyingine afu nitaipiga picha hii simu yangu (s1)Weka picha tuone hali yake
Yeah tumalize,tusaini out,tukabidhi funguo,kwa sisi wachelewaji acha tumalizie Lindo.
05:57.Yeah tumalize,tusaini out,tukabidhi funguo,
ShikamoooMabintiii
Marahabaaaa mtoto mzuri.Shikamooo
We mtoto unaumiza moyo wanguPopo mpo wap leo?
Umelala?Shikamooo
Mrs mtakatifu kimya mamaPopo mpo wap leo?