Inna
JF-Expert Member
- Jan 13, 2017
- 11,194
- 27,096
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Hii hapaView attachment 666178 tupia na wewe kamanda
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Hii hapaView attachment 666178 tupia na wewe kamanda
Acha uongo basiUmeonaa eee aisee huyo kanshinda ametoka kunigombanisha na ivuga
Duuh!![emoji134]Umeonaa eee aisee huyo kanshinda ametoka kunigombanisha na ivuga
Ivuga kaenda wap?Hamna wa kunitoa out[emoji85]
Jaman,,wakat mim nipo kwa ajili yako [emoji19]Hamna wa kunitoa out[emoji85]
Bora upotee kama unavyopoteaga uje na vi thread vyako uchwaraAcha uongo basi
Unacheka,ngoja atupie yake mjukuu wangu nione kama tunafanana[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Nawe mzee wa promise tu toka mwaka jana ulisema utantoa out mpk leo mwaka mwingineJaman,,wakat mim nipo kwa ajili yako [emoji19]
sawa nitaondokaBora upotee kama unavyopoteaga uje na vi thread vyako uchwara
Alafu najua hata huku umenfuata
Mda sana aiseeKumekucha huku
Kwemaa..mzima ww! Heri ya mwaka mpyaKwema wadau?
Ngoma droo![]()
Hiyo mkuu
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Ngoma droo
Aisee, ni kwel ila sasa naweka nadhiri nafanya kweli wewe tu uwe tayari,maana nakujua ..[emoji6]Nawe mzee wa promise tu toka mwaka jana ulisema utantoa out mpk leo mwaka mwingine
Wacha wee!! Naona shem sijui ulimpa nin sio kwa busu hilo mzee mwenzangu![]()
Hiyo mkuu
Mimi mzima wa afya hofu kwako. Za tokea janaKwemaa..mzima ww! Heri ya mwaka mpya