JamiiForums Usiku wa manane
Sijambo..sio kwa kuadimika huko nakumbuka nilipoanzaga upopo nilikua nakuchanganya ww na dingimtoto
Sikumoja ukaniambia we kila siku ni popo hulali nkakujibu ndio hapo ndo mwisho sikukuonaga tena mpk mwaka huu
Yani acha tu, vyuma vilikaza sana mwaka uliopita ndio maana niliadimika.. Ila mwaka huu vyuma vimelainika kiasi sasa nakula bata tu
 
Labda tunafanana mkuu, hebu tupia picha yako hapa nione
Hii hapa
IMG-20161028-WA0010.jpeg
tupia na wewe kamanda
 
Back
Top Bottom