HB wa kigogo
JF-Expert Member
- Aug 24, 2017
- 2,489
- 6,251
Hube tupia kawasifu kadogo kuhusu wagogoOooh wagogo ndo naishi nao wanashda sana
Hube tupia kawasifu kadogo kuhusu wagogoOooh wagogo ndo naishi nao wanashda sana
Dah umejuaje? Yaani mpaka ninatamani pakuche sasa hivi.Najua wengi ambao hawajalala wako single
Maneno hayoKabisa Nimechoka kulala peke angu
Nipo likizo kiongoziChangamkia fursa hiyo HB kigogo kajitoa Mi Pia sihitaji kwahyo umebaki mwenyewe ushidwe ww tu
Nilikuwa na malengo na ww lakn kwa moto huu sikuwez aiseeNgoja nilale nikumbatie mito Tukutane kesho Love Connect natangaza Fursa Jamanii ya Kiben 30 wape taarifa wote![]()
Ngoja nilale nikumbatie mito Tukutane kesho Love Connect natangaza Fursa Jamanii ya Kiben 30 wape taarifa wote![]()
kila la kheri. Usiku mwemaMi Sitaji utangaze Ilihal Mim Nipo HapaNgoja nilale nikumbatie mito Tukutane kesho Love Connect natangaza Fursa Jamanii ya Kiben 30 wape taarifa wote![]()
Nipo Hapa Maeneo Ya Mji Mwema Nimetoka South Ebu Nielekeze Vzr ManaKigamboni mojaaa...niko spirit room tusomane hapa
Ndio. Wala hujakoseahivi huu ndio usiku wa manane
Funga tu kiongozi. Lakini wadau bado wapo kwenye mkesha.Nafunga Geti
Leo nimechelewa kuja lindoni. Kwema lakini mkuu?Mh wengi Sana
hahaah we mtuHatimae shemeji yangu warudi kilingeni...kweli mwaka mpya na mambo mapya. Msalimie huyo anayekulaza mapema siku hizi![]()
![]()
![]()