The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 34,071
- 102,485
10:24 PM
Here we go.
Here we go.
mi ndio nakula pilao la Eid saa sita hii, shukrani za dhati kwa jirani.iz zea enewani araundi au wote mmeshiba pilau mpo hoii
jirani abarikiwe mno,, ila mbona kachelewesha mpka ham imeishami ndio nakula pilao la Eid saa sita hii, shukrani za dhati kwa jirani.
Mi ndio nimechelewa, tokea saa saba sahani yangu ilikua tayari.jirani abarikiwe mno,, ila mbona kachelewesha mpka ham imeisha
asanteeeeMi ndio nimechelewa, tokea saa saba sahani yangu ilikua tayari.
Karibu aisee
Kuna watu wana juwa kupika aisee, hii hata kama ni kiporo jinsi kilivyo ingwa hutadhani kama ni mcheleasanteeee
kwahiyo upo unakula kipolo cha mchana😁😁😁
enjoy mwanetuKuna watu wana juwa kupika aisee, hii hata kama ni kiporo jinsi kilivyo ingwa hutadhani kama ni mchele