ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 17,314
- 41,063
Hakunaaa🎶🎶 Moyo wangu mjinga nakulaumu kila anaekuja kwako unamuamini sana,, unanibebesha mzigo na majukumu,,,,,🎶🎶🎶
Hakunaaa🎶🎶 Moyo wangu mjinga nakulaumu kila anaekuja kwako unamuamini sana,, unanibebesha mzigo na majukumu,,,,,🎶🎶🎶
ushindwee🤣🤣🤣🤣🤣Hakunaaa
Usiongeze chupa nyinginehivi hapa nipo wapi😂😂😂😂
aaah kumbe nipo kwenye kigeto changu huku malamba mawili,, vipi wew
mwenzangu mimi sio mlevi😂😂 enyewe nipo ndani nawaza kwenda kupunguza maji nimechokaaaaUsiongeze chupa nyingine
Kumbe haya sauwaa maa🥰mwenzangu mimi sio mlevi😂😂 enyewe nipo ndani nawaza kwenda kupunguza maji nimechokaaaa
Amen0050 Nawakumbusha kusali
Mganga kadondosha simu usiokote uta-delete mizimu01:01 intelli monstrous