ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 2,689
- 6,008
Nimefunga tatu kavu maombi yangu ya kuangamiza watesi š„Walokole wamelala wataamka saa 9 kwenye maombi, ni kwann hujalala?
Yana anza 12 jion so now ni operation inaendelea
Nimefunga tatu kavu maombi yangu ya kuangamiza watesi š„Walokole wamelala wataamka saa 9 kwenye maombi, ni kwann hujalala?
Watesi wanadai umekuja kudanga na id mpyaš najiungamanisha na haya maombi ya kuvunja chuki kwa confused species za jf, bado nusu saa nilete nenoāļøš¤Nimefunga tatu kavu maombi yangu ya kuangamiza watesi š„
Yana anza 12 jion so now ni operation inaendelea
Mimi huyo ? š®š®Watesi wanadai umekuja kudanga na id mpyaš najiungamanisha na haya maombi ya kuvunja chuki kwa confused species za jf, bado nusu saa nilete nenoāļøš¤
Fire š„ āļøš¤øš½āāļøMimi huyo ? š®š®
Nakemea kwa jina la Yesu