😂😂 nipitie
Pita shenesti!😆😂😂 nipitie
😂😂😂 time ndio hii kipako kinapakwa usiku😎Mbona hupiti bidada? Unajichubua kwanza au😂🤸🏽♀️ Hata najua basi
Jichubue na id yako mpya ya udangaji😂😂😂😂 time ndio hii kipako kinapakwa usiku😎
Astghafirullah 😢nimeokoka nampenda Yesu😊Jichubue na id yako mpya ya udangaji😂
Walokole wamelala wataamka saa 9 kwenye maombi, ni kwann hujalala?Astghafirullah 😢nimeokoka nampenda Yesu😊
Nimefunga tatu kavu maombi yangu ya kuangamiza watesi 🔥Walokole wamelala wataamka saa 9 kwenye maombi, ni kwann hujalala?
Watesi wanadai umekuja kudanga na id mpya😂 najiungamanisha na haya maombi ya kuvunja chuki kwa confused species za jf, bado nusu saa nilete neno⚔️🤗Nimefunga tatu kavu maombi yangu ya kuangamiza watesi 🔥
Yana anza 12 jion so now ni operation inaendelea
Mimi huyo ? 🚮🚮Watesi wanadai umekuja kudanga na id mpya😂 najiungamanisha na haya maombi ya kuvunja chuki kwa confused species za jf, bado nusu saa nilete neno⚔️🤗
Fire 🔥 ⚔️🤸🏽♀️Mimi huyo ? 🚮🚮
Nakemea kwa jina la Yesu