100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,179
- 36,374
Aisee una playlist nzuri..tukutane ndotoni
Aisee una playlist nzuri..tukutane ndotoni
hizo ni baadhi hata theluthi sijafika🤣🤣Aisee una playlist nzuri..
We mtoto utanimaliza...🎶🎶 Yeye ndo amenilemaza kulala kwake kifuani kutwa kunijaza jaza mi kajoli ye sharukani,, nitadumu nae kwa nguvu za manaani jaribu badae kwa sasa hapatikani
100 others,,, hii utaisikiliza asubuhi ukiwa unajiandaa kwenda kazini 🥰😍
Umezikariri kichwani hizo lyrics?hizo ni baadhi hata theluthi sijafika🤣🤣
bado kidog usichoke nakaribia😜🤗😘We mtotp utanimaliza...
Aaah Nachoka mimi...
ndiooo,, siku ukiwa bored utanipigia nikuimbie🤗Umezikariri kichwani hizo lyrics?
U are in love🎵🎵🎵Nawataarifu nimempata mwenyewe huyu ndo anae nifa,, na nisitake kitu lazima tu nipewe msione nawakataa,,, nami naahidi chaguo langu ni wew*2 sina wa zaidii sina sinaa,, Pwita pwita moyo unani pwita pwita"
exactly 🤗U are in love
Nitafurahi..😘😘😘ndiooo,, siku ukiwa bored utanipigia nikuimbie🤗
nipo kwa ajili yako,, nishakupa moyo na mwili🥰Nitafurahi..😘😘😘
0310,,, 🎶🎶Nimegundua kwanini wananunaa maex zako nakunichukiaa,, maan unajua wapi pa kukuuna ooh kazi yakoo unaipatia,, mchuchu mchuchu sweet sweet banana punga mkono....
💃💃
Alfajiri njema...🎶🎶 utani kama utani tulianza kimasihara sikudhani yatafikia mahala, .akiwa hapatikani hapaliki sijalala kanifanya kitu gani mbona imekua mara,,,100 others,, eti kukuacha naanzaje sasa kusepa natoa wapi jeuri🤗😘,,,
naomba upumzike usije ukasinzia ofisini please