win-one
JF-Expert Member
- May 28, 2024
- 9,188
- 31,373
hakika,,Mzuri, una ujumbe mzuri...
hakika,,Mzuri, una ujumbe mzuri...
🎶🎶 umenivunja vunja viungo vya mwili kwako niko hoi taabani, ndumba ndumba zimekithiri mambo doi doi taabani,,, nilaze kifuani mwako nikihema taratibu.... ila Mbosso🙌,,
100 others huu unaupata?
🤔 Hizi playlist nani kakufundisha..hellow my love are you okay, helow my love mi sijui najisikiaje🎵🎼 humu tu💃
ewaaa usiku unakua murua kabisa🥰View attachment 3546753
Tanasha , La Vie ft Mbosso.
jamani😁,, zimefanyaje kwanza ni mbaya au🤔 Hizi playlist nani kakufundisha..
Hapana ni nzuri, Zinanipa mashaka kinachoendelea huko... 🤔jamani😁,, zimefanyaje kwanza ni mbaya au
noo usiwe na mashaka kabisa,, everything is gudooo😘",,,Hapana ni nzuri, Zinanipa mashaka kinachoendelea huko... 🤔
Nipe nyingine nzuri... Ya kulalia...noo usiwe na mashaka kabisa,, everything is gudooo😘",,,
Aiseee"hata kama wakisema una machafu mengi siyaoni nimekwama Shimo la mapenzi,, mi kwako nishatulizana kung'ooka siwezi,, Nyoyo zetu zimeshikamana baba umeziba ufa kasoro zetu twavumiliana 100 others 🥰
mimi ni kuku wako ukitaka mayai niyatage semaa na ukiona na ujingaa we nistiri usinibwage,, sina matamanio nishavukaga huko sitolivua vazi la heshima ulonivika kwa upendo,,, umenijaza upendo mpka unanitiririka🥳🎶😘Nipe nyingine nzuri... Ya kulalia...
Aisee, una maneno we mtoto... Nilitaka nisinzie mpaka nimeamka..."hata kama wakisema una machafu mengi siyaoni nimekwama Shimo la mapenzi,, mi kwako nishatulizana kung'ooka siwezi,, Nyoyo zetu zimeshikamana baba umeziba ufa kasoro zetu twavumiliana 100 others 🥰
sa unasinziaje unaniacha pekeangu😪Aisee, una maneno we mtoto... Nilitaka nisinzie mpaka nimeamka...
Hii ngoja niitafute.. Ya kulalia...mimi ni kuku wako ukitaka mayai niyatage semaa na ukiona na ujingaa we nistiri usinibwage,, sina matamanio nishavukaga huko sitolivua vazi la heshima ulonivika kwa upendo,,, umenijaza upendo mpka unanitiririka🥳🎶😘
tukutane ndotoniHii ngoja niitafute.. Ya kulalia...