Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,407
- 102,440
00:47 here we go again
naendelea vizuri sisy,,, nimekumis mnooo mbona upo kimya kiasi hichoUnaendeleaje mpenz,nipo cute
Ngoja nisikilize unachosikiliza..🎶🎶 ile mito milima tuliyopita uliona, nikavumilia nikang'ang'ana si unaona,,, waambiee siongezi Neno nishaweka nukta waujue nilitulia sikukurupuka,,,
nikumbate kama mtoto, ntadeka×2🔥
huu wimbo sijawahi kuuchoka jamni naupenda mnoNgoja nisikilize unachosikiliza..
View attachment 3546750
Mzuri, una ujumbe mzuri...huu wimbo sijawahi kuuchoka jamni naupenda mno