JamiiForums Usiku wa manane
Hahahahaha asante mungu baba kwa neeema na baraka za Kipepee kuweza kuuona mwaka mpya tukiwa na uzima na afya tele. Nashukuru kwa nafasi hii ya upendeleo ee mungu baba.
Ni mwaka mwingine baba nakukabidhi kila kilicho chetu kikapate kufanikiwa kulingana na mapenzi yako baba wa mbinguni. All our plans all our mission na takataka zote zinazofanana nahizo zikatimie kwa jina lako takatifu baba wa mbinguni. Bariki mimi bariki familia yangu mume wangu ndugu jamaa na marafiki wakapate kuishi maisha marefu yenye uzima neema na afya tele
I ask these through jesus christ our savior aimeeeeeeeennnn

Happy new year to all jf members!!
wooooiiiiwoooiiiiwoooiiiii

Cc Smart911
Hii Insha veepeee

Cc Mr. Smart
 
Eti Kila aina ya Takataka
 
Grisi itapatikana kwa wingi mwaka huu
Naam!! Me naanza mwaka
20180101_004851.jpeg
ka hiv comrade
 
Heri ya mwaka mpya ndugu zangu popo bila kuwasaha bundi.

Mapopo wenzangu, kheri ya Mwaka Mpya..

Happy new year everyone

Many kisses.

0004.

Heri ya mwaka 2018 popo na bundi

Happy New Year 2018 popozzz na Bundizzz

1 - 1 - 2018

Oyooooh oyoooooh oyooooooooh
Happy new yr kwa popoz wote tuendeleze mshikamano wa kukesha

Happy new year my fellow country men

Happy New Year everyone. .......

Many kisses....
HERI YA MWAKA MPYA WOTEEEE
 
Back
Top Bottom