Nathan06
Senior Member
- Oct 7, 2016
- 149
- 163
Muda bado mkuu naona leo umeruka ukuta.Hodi hodi naingia*2
Muda wetu wawadia
Salam zangu nawaletea
Walinzi wote nawasalim
Ni muda wa malindo
Tufanye hima muda umewadia
Muda bado mkuu naona leo umeruka ukuta.Hodi hodi naingia*2
Muda wetu wawadia
Salam zangu nawaletea
Walinzi wote nawasalim
Ni muda wa malindo
Tufanye hima muda umewadia
Daah kweli but nipo lonly sana sina company pia leo nimevurugika since morng chiefMuda bado mkuu naona leo umeruka ukuta.
Pamoja mkuuu have a nice sleepingWapendwa leo naombeni ruhusa sito kuwa pamoja na nanyi. Usiku mwema in Advance
Nipo kamandaMkuu
Inna
Dingi mtoto
Mwifwa
Na wengineo kilingen hima hima wakuu
Pole sana mkuu,but mapoo ndo tumeshaliamsha twende sawa..Daah kweli but nipo lonly sana sina company pia leo nimevurugika since morng chief
Mkuu wa kambi naleta kwako taarifa kuna mpiganaji ametoa udhuriNipo kamanda
Mkuu hata kama cjakutaja direct nisamehe ila ipo collectively "na wengineo"Ingawa sipo kwa list ila naomba kuitika juziiii na leoooooooo
Hali ya hewa imechafuka huwez juaHii ndo huwa wanaita emergency landing,
Kila lakheri kiongozi
Nipo mlandiz (mbwawa) toka morng chief kuna ng'ombe wangu huku kijana kawatelekeza na sikukuuu nasikia yupo bagamoyo kwa mpenzPoleee sanaaa kiongozi, nini mbayaa mzeebaba??
Ambao hawajalala wapo single





Wengine sio single bali wapo lindoni tuAmbao hawajalala wapo single
Mwaba acha 2 hajui mtu unajibana vp ili life liende yye anaona poa any way nashukuru wapo salama haja tempa naoAaah kubabake, anatelekeza ng'ombe wakati mtaani hamna grease yakulegezea vilivyokaza??
Demiss nawe upo singo dats y hujalala till nowAmbao hawajalala wapo single