Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,402
- 31,658
Unatakiwa uupeleke tbs wakaukague kama una viwangoUkipika ugali unampelekea jirani akadhibitiahe kama umeiva au unaonja mwenyewe???
Unatakiwa uupeleke tbs wakaukague kama una viwangoUkipika ugali unampelekea jirani akadhibitiahe kama umeiva au unaonja mwenyewe???
Naona mnavyotamba na mwanafunzi wako kipenzi, ngoja nimwombe anifundishe na la mwalimu wake[emoji41]N-le-te-re-wa
N-le-te-re-wa
N-le-te-re-wa
N-le-te-re-wa
Daahhhh shughuli pevu hiii[emoji47] [emoji47] [emoji47]
Ahsante sana Mwanafunzi wangu kipenzi
Nisubiri twende wote [emoji124] [emoji124] [emoji124][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sasa naenda kuegesha
Ndio tunapokua kwenye maombi, kufumba macho hutuweka Katibu sana na tumwombae[emoji120]Kumbe unataka nifumbe macho ili ufanye yako? Basi sawa [emoji40] [emoji40] [emoji40]
Sema Mwa-mwe-mwi-mwo-mwuNaona mnavyotamba na mwanafunzi wako kipenzi, ngoja nimwombe anifundishe na la mwalimu wake[emoji41]
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Umeona jinsi mwanafunzi nilivyo na uwezo wa kufundisha kuliko nyinyi walimu wangu? Kuanzia mwakani siwalipi tena ada yangu.
Cc Nleterewa Nganengo
Malizia zamu komredi au unaliegesha getini nini[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sasa naenda kuegesha
Kwa kweli mara ya mwisho nlikulipa enzi za jk, tangu tulipoanza kupambana na hali zetu kisha vyuma vikafanya yake nilishindwa kukulipa directly but indirectly[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Kwani lini umewahi kunilipa?[emoji40]
Ndugu umekosea njia, hapa stori tu kula kwenu!*Kura hukomesha mashindano* Mpigie kura Rais JPM anastahili! kwq kufanya hivi ni kumfanyia MUNGU heshima!
6 PRESIDENTS, BUSINESS LEADERS, NOMINATED FOR ALM PERSONS OF THE YEAR 2017 - 6 PRESIDENTS, BUSINESS LEADERS, NOMINATED FOR ALM PERSONS OF THE YEAR 2017 - African Leadership Magazine
Mpigie kura Magufuli kuwa raisi bora Africa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sema Mwa-mwe-mwi-mwo-mwu
Rudia x 3
Sema fwa -fwe - fwi-fwo-fwu
Rudia x 3
Sasa sema Mwi-fwa
Rudia x 6
Tushamalizana, usinidai ada ya mwakani
[emoji122] [emoji122] [emoji122]Sema Mwa-mwe-mwi-mwo-mwu
Rudia x 3
Sema fwa -fwe - fwi-fwo-fwu
Rudia x 3
Sasa sema Mwi-fwa
Rudia x 6
Tushamalizana, usinidai ada ya mwakani
Hizi ndio risiti zangu za ada ya mwakani![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Lol!! nakugawa bure Mwanafunzi wangu kipenzi.
Leo umenifurahisha sana!!
Kesho ukichelewa sikuchapi au kukupata adhabu ya kubeba moramu, sawaaa!!
[emoji122] [emoji122] [emoji122]
Kweli unastahili kusoma bure kuanzia mwakani
[emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Lol!! nakugawa bure Mwanafunzi wangu kipenzi.
Leo umenifurahisha sana!!
Kesho ukichelewa sikuchapi au kukupata adhabu ya kubeba moramu, sawaaa!!
[emoji42] [emoji42] [emoji42][emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji99] [emoji99] [emoji99]
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]Hizi ndio risiti zangu za ada ya mwakani!
Mlale unono walimu wangu wapenzi wa nafsi yangu!
Hapo sawa[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Huyu itabidi kesho tumtafutie chokoleti na kachori za kutosha.