JamiiForums Usiku wa manane
Mwenzenu mwana jf naenjoy utam wa lifuuu
1000142434.jpg
 

mastory ya bey

My people hope mpo gud au sio,binafsi nipo gud sana ni usiku mwingine tena

Jamani leo nina ujinga flani hivi nataka kuuongea hapa,ila ubakie hapa hapa ndani ya Mastory ya Bey,maana hapa ndio sehemu ambayo huwa najiachia,yani kama bungeni vile,unajua wabunge wanalindwa na sheria kwa jambo lolote ambao watalijadili pale mjengoni basi hawashtakiwi,nami nisikuhukumiwe nikiwa katika zone yangu hapa.

Iko hivi ebu tuchukilie mfano kwamba watu wakitekwa wawe wanapelekwa vocation sehemu fulani ingawa tunaweza tusiijue wapi,lakini tunajua wapo salama na watarudi tu wakiwa bukheri wa afya

Je kama hivyo ndivyo,unafikiri tutakuwa na mashaka sana tukisikia wapendwa wetu wametekwa? Hatutakuwa na mashaka sana kwakuwa tunajua wapo salama na watarudi


Sasa tuje kwenye ujinga ambao nataka kuzungumza hapa,wote tunajua mtu akikuchukulia bwana wako au mwanamke wako,hapana shaka tunajua kwamba hatamuua wala kumdhuru ila tunajua atamkula na kisha huyo mpendwa wetu atarudi salama salimini,kama hivyo ndivyo sasa kwanini huwa tunapaniki sana na kutaka kujiua au kuua kwa ishu ambayo tunajua kabisa mwenza wako akila au akiliwa atarudi salama salimini,je nini shida?

Au labda tukibadili mtazamo wetu juu ya jambo hili huenda tutaepuka madhara mengi sana au mimi ndio nina shida kuwa na mtazamo huu?

Nakumbuka kipindi flani miaka ya nyuma girl wangu aliniambia akiwa mkoani huko,""unakuwa na wasiwasi gani kwani hii ni sabuni kwamba itaisha ikitumiwa"" hahaha she was just joking but she had a point kwa kiasi fulani,any way yalikuwa Mastory ya Bey


 

Nukuu ya leo

🌟 Nukuu ya Leo (27 Septemba):

"Ukombozi wa kweli huanza pale mtu anapojifunza kuikomboa akili yake." – Nelson Mandela

👉 Inatufundisha kuwa mabadiliko ya nje huanza na mabadiliko ya ndani ya fikra na mtazamo.
 

Leo katika historia​

Hapa kuna baadhi ya matukio ya kihistoria yaliyotokea siku ya leo, Septemba 27:


---

🕰 Matukio Makubwa

1066 — William, Duke wa Normandy, baada ya kuchelewa kwa sababu ya hali ya hewa, alianza safari kuelekea pwani ya kusini-mashariki ya Uingereza, ikiwemo kuanza kwa ushindi wa Norman kwenye Uingereza.

622 — Mtume Muhammad alikamilisha Hijra (kuondoka kutoka Mecca kwenda Medina) kukwepa mateso. Tukio hili linaonekana kama mwanzo wa kalenda ya Kiislamu.

1822 — Mwanasayansi wa Kifaransa, Jean-François Champollion, alitangaza kuwa ameweza kusoma na kuelewa maandishi ya hieroglyphics ya Misri kwa kutumia Jiwe la Rosetta.

1854 — Meli mbili zilikutana baharini karibu na Newfoundland kutokana na ukungu mnene, ikasababisha vifo vya watu wengi (takriban 350).

1939 — Jiji la Warsaw, Upoland, lileruhusu kuvunjwa na majeshi ya Ujerumani na Umoja wa Kisovyeti, wakati wa Vita vya Pili vya Dunia.

1940 — Makubaliano ya Tripartite Pact yametiwa saini, yakiteua rasmi muungano kati ya Ujerumani, Italia na Japani katika Vita vya Dunia.

1996 — Taliban ilichukua mji wa Kabul, Afghanistan, ikiondoa serikali iliyokuwepo na kutekeleza mabadiliko makubwa ya kisiasa.



---

🎂 Wazaliwa & Wafiwa

Wazaliwa:
 • Lil Wayne (msanii wa muziki) — Septemba 27
 • Randy Bachman (muziki)

Wafiwa:
 • Sylvia Pankhurst, mwanaharakati wa haki za wanawake na kupinga ukoloni, alifariki Septemba 27, 1960.
 • Papa Urban VII aliaga dunia tu baada ya siku 12 tangu kuchaguliwa kuwa Papa, anayeongozwa kuwa na uongozi mfupi kabisa wa kitume.



---

🎉 Sikukuu / Sherehe

Siku ya Uhuru ya Turkmenistan — Turkmenistan hufurahia uhuru wake kila Septemba 27.

Siku ya Kumbukumbu (Remembrance Day) – Azerbaijani — inahusishwa na kumkumbuka wanajeshi waliofariki katika Vita ya Nagorno-Karabakh ya 2020.








 

positive affirmations

✨ Positive Affirmations za Leo (27 Septemba):

1. 🌿 Ninachagua kuwa mtulivu, mwenye nguvu na mwenye amani ndani yangu.


2. 🌞 Kila siku mpya huniletea fursa mpya za kustawi na kuimarika.


3. 💎 Ninastahili upendo, heshima na mafanikio katika maisha yangu.


4. 🌱 Changamoto ninazokutana nazo ni ngazi ya kunipandisha juu zaidi.


5. 🌍 Ninaweza kuleta tofauti njema kwa maisha yangu na ya wengine.






 
The marz....kwa John Dillinga aka DJJD nakula pini za 80's zikizid za 90's.....those days where music was real music...nikutajie pini iliyo hewani hv sasa? Isiwe kesi ni roses are red skys are blue ya Nu shoes....
 
The marz....kwa John Dillinga aka DJJD nakula pini za 80's zikizid za 90's.....thise days where music was real music...nikutajie pini iliyo hewani hv sasa? Isiwe kesi ni roses are rwd skys are blue ya Nu shoes....akupandisha nakwambia
Nakubaliana na wewe kabisa hizo pin ni balaa halafu hazipitwi na wakati kabisa

Hivi huyu mwamba kuna wakati nilimuona kwenye weel chair kwenye msiba wa mtu fulani,kumbe yupo okay kwenye one and two
 

Mastory ya bey​


Hello my people how are u doing, hope u had a great weekend,mine too was not bad!

Je wewe ni mtu ambaye huwa unapenda kuwapa watu credit? Au unapenda sifa zote upate wewe tu?

Jifunze kuwapa watu credit pale wanapo stahili,kuna baadhi yetu hupenda sifa zote zije kwetu hata pale ambapo hatustahili kabisa,hii sio tabia ya watu makini na wastaarabu

Unapowapa watu credit wanapostahili kwanza unajijengea heshima wewe binafsi,na kufanya mapenzi yaje kwako, na istoshe unadhihirisha kuwa wewe si mbinafsi bali unajali watu wengine pia

Just imagine unachukua credit wewe usiyo stahili unafikiri watu wakija kujua watakuchukuliaje? Wakati mwingine tunasababisha kudharauliwa na watu kwasababu wanatuona tunapenda kujipa sifa tusiyostahili,hii inatufanya tuonekani hatuna maana mbele za watu

Jitahidi kuwapa watu sifa wanayostahili hata kama wewe ni boss,hii itafanya wafanyakazi wako wakuheshimu na kuona unajali mchango wao

Ndio maana wenye kujua umuhimu wa kutambua jitihada za watu wengine,hata wanaposifiwa kwa kufanikisha jambo fulani husema kwa lugha ya wingi akiwajumlisha watu ambao kwa umoja wao walishirikiana kwa pamoja na kufanikisha jambo husika.
 

Leo katika historia​


Hapa ni baadhi ya matukio ya kihistoria yaliyotokea Septemba 28:


---

🕰 Matukio Muhimu

48 B.C. — Pompey Mkuu aliuawa kwa amri ya Mfalme Ptolemaio wa Misri.

1066 — William wa Normandi alishuka Anglikini (Pevensey Bay) kuanza wateka-mji wa Uingereza.

1542 — Mwanasayansi na mvumbuzi Juan Rodríguez Cabrillo alifika huko San Diego Bay na kuwa Mweurope wa kwanza kuweka mguu kwake katika eneo hilo.

1781 — Vita vya Kitaifa vya Marekani: majeshi ya Marekani pamoja na Wafaransa walianza kuzingira mji wa Yorktown dhidi ya Uingereza — kiutano hicho kikawa hatua muhimu kuelekea ushindi wa Marekani.

1928 — Alexander Fleming aligundua penicillin, dawa ya kwanza yenye ufanisi dhidi ya bakteria, ikaanza enzi ya antibiotic.

1978 — Papa John Paul I alikufa baada ya tu miezi michache tu tangu kuchaguliwa, akiacha viti vya Kanisa Katoliki bila urithi mrefu.



---

♻️ Siku ya Kimataifa au ya Uhamasishaji

Siku ya Dunia ya Nyuzi (World Rabies Day) inaadhimishwa Septemba 28. Ni siku ya kuelimisha juu ya ugonjwa wa nyuzi (rabies) na njia za kuzuia.

Siku ya Uhamiaji Salama (International Safe Abortion Day) pia huadhimishwa Septemba 28, kwa ajili ya kujadili sera, haki, na usalama wa huduma za utoaji mimba.
 
Back
Top Bottom