JamiiForums Usiku wa manane

Mastory ya bey​


Za jioni watu wangu natumaini mko gud kabisa,tumshukuru Mola wetu kwa neema ya uhai

Kila mtu katika nyakati fulani fulani katika maisha hutokea akafanya maamuzi ambayo sio sahihi, na maamuzi hayo huenda yakamuathiri yeye binafsi au yakawaathiri wapendwa wake

Hivyo tunajikuta tuna bakia na Majuto na kujilaumu sana,kwanini nilifanya vile niliyofanya,je lau nisingefanya vile huenda mambo yangekuwa tofauti leo

Iko hivi watu wangu tusijilaumu sana kwasababu by the time we made that decision hatukutegemea kwamba mambo yangekuwa kinyume na matarajia yetu,tulitarajia kupata matokeo mazuri kutokana na maamuzi hayo

Kwahiyo sisi hatujakamilika tumeumbwa kufanya makosa,lau tusingefanya makosa basi tusingekuwa wanaadamu,kwahiyo makosa ni sehemu ya maisha yetu,kwahiyo just chill na usijilaumu sana

Maisha lazima yasonge mbele kwani sisi sio wa kwanza kufanya makosa,walifanya wenzetu kwahiyo siyo jambo geni tusijilaumu kwamba sisi ndio wakosaji kivileee

Kuanzia sasa baada ya kusoma hii notes board badilisha mtazamo wako,Sahau yote yaliyo pita na songa mbele,focus wakati uliopo na kheri kubwa itapatikana

Kumbuka unapobadilisha mawazo yako basi unabadilisha dunia yako
 

Leo katika historia​


🗓️ Historia Leo – Septemba 30

Hapa kuna baadhi ya matukio ya kihistoria yaliyotokea siku kama ya leo:

1791 – Mozart aliendesha mara ya kwanza The Magic Flute mjini Vienna, moja ya opera zake mashuhuri zaidi.

1882 – Thomas Edison aliwasha kwa mara ya kwanza mitambo ya kwanza ya kuzalisha umeme kwa mfumo wa gridi huko Appleton, Wisconsin, Marekani.

1928 – Alexander Fleming aligundua penicillin, dawa ya kwanza ya antibiotic iliyookoa mamilioni ya maisha.

1966 – Botswana ilipata uhuru kutoka Uingereza.

2005 – Denmark iliruhusu ndoa za jinsia moja kuhalalishwa kanisani.
 

positive affirmations

💡 Positive Affirmations za Leo – Septemba 30

1. Ninathamini safari yangu na kila hatua inanileta karibu na mafanikio.


2. Nimejaa nguvu, amani na matumaini ya kesho bora.


3. Changamoto ni daraja la kunipeleka kwenye ukuaji na hekima.


4. Nimebarikiwa, ninaweza na nitaendelea kusonga mbele.


5. Leo ni siku yangu ya kung’aa na kutoa mwanga kwa wengine. ✨





 
Back
Top Bottom