kedrick
JF-Expert Member
- Apr 25, 2015
- 5,320
- 5,390
2:1702:14 am, mimi ni wa mwisho kwa leo. Wote wamelala😥
2:1702:14 am, mimi ni wa mwisho kwa leo. Wote wamelala😥
We jifurahishe tu!!Chino raskazone nime acha alama za mabao yangu, sasa lete vurugu kumbe dada ako ndiye x wangu.
Chino mboka wana kuzonga coz una fanana na nyani wa sikonge, maana hao ndiyo wana penda maembe.We jifurahishe tu!!
Mimi Niko mboka nanua miti ya maembe.
Sasa wanavyonizonga ni zonga zonga dada zako wote wanataka niwapeleke dar.
Waambie Hela si yangu nimetumwa na tajiri
Kibunda mzee; na Mimi Hawa shombe shombe navyowakubali Ni kuwapelekea moto tu.Chino mboka wana kuzonga coz una fanana na nyani wa sikonge, maana hao ndiyo wana penda maembe.
Subiri j4 uende tinde ukapagawe, tena kwa ushamba wako utaibiwa hadi ndala.Kibunda mzee; na Mimi Hawa shombe shombe navyowakubali Ni kuwapelekea moto tu.
Na dar si wapeleki.
Wachawi mki okoka mna sumbua sana, hii mida ya kulala sio kupiga kelele Janja.Kibunda mzee; na Mimi Hawa shombe shombe navyowakubali Ni kuwapelekea moto tu.
Na dar si wapeleki.
Unalalaje mapema! Na pembeni Kuna toto la kimanyema ni mwendo wa shindu shindua.Wachawi mki okoka mna sumbua sana, hii mida ya kulala sio kupiga kelele Janja.
Hakunaga mgosi wa ndima fala!!!Subiri j4 uende tinde ukapagawe, tena kwa ushamba wako utaibiwa hadi ndala.
Nyeto kweli mbaya, demu wako wa mwisho uli muona kwenye gazeti halafu hapa una tamba.Unalalaje mapema! Na pembeni Kuna toto la kimanyema ni mwendo wa shindu shindua.
Endelea kupiga chabo tu janja kwenye madirisha ya watu!!
Zongo ndio la kutishia watu, kuvimbishana tumbo ni ushamba wa enzi za ukoloni.Hakunaga mgosi wa ndima fala!!!
Ukijikuta much know na kutandika zongo Ili wenge likutoke
Tafuta Hela janja! Nikupe mademu wa Kali. Siku mmoja mmoja uwe una kojoa sehemu nzuri;Nyeto kweli mbaya, demu wako wa mwisho uli muona kwenye gazeti halafu hapa una tamba.
Mkono wako una ubaka tu, leo mwajuma kesho zakia.
hahaha! Naona ushaingiwa na ubaridiZongo ndio la kutishia watu, kuvimbishana tumbo ni ushamba wa enzi za ukoloni.
tena huku nanjilinji lazima waku tandike ffimbo, ili uache ushamba.
Janja hela ya kununua makurumbe sina, muda huo bora nilime pamba tu.Tafuta Hela janja! Nikupe mademu wa Kali. Siku mmoja mmoja uwe una kojoa sehemu nzuri;
Kama huna Hela niambie nikitafutie mi suger mommy! Haha au pumzi nayo shida.
Haya ndiyo ma sponsor yenu ehh, ko mna tamba tu.;Kama huna Hela niambie nikitafutie mi suger mommy! Haha au pumzi nayo shida.
Kamanda haogopi vagi, hata ukienda kwa mganga kutambika jina langu wata kujibu nilisha zikwa.hahaha! Naona ushaingiwa na ubaridi
Ukishalima pamba then?Janja hela ya kununua makurumbe sina, muda huo bora nilime pamba tu.
Mimi ni muhongaji dogo wewe kama una pisi Yako jf na mtaani nipe code tu! Tukusaidie kutunza
Natengeneza himaya janjaUkishalima pamba then?
Hizo Hela unazitafutia nini Sasa?