Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,408
- 102,438
Sasa mzee utoke bongo hadi south kisa madem?, akati Tanga, tabora, singida, manyara, Dodoma, Zanzibar pisi ni tele.Kuna totozi Kali sana
Sasa mzee utoke bongo hadi south kisa madem?, akati Tanga, tabora, singida, manyara, Dodoma, Zanzibar pisi ni tele.Kuna totozi Kali sana
ahh sisi wa nanjilinji huku hata tarehe hatutaki kujua, kiufupi hata mwenyekiti kwetu haja pajua.Siunaona tumepishana lisaa limoja
Ninyi mpo nyuma Kwa saa moja
👊👊01:30 the best achievement in this world is to make sure your family is safe, providing for them, having a roof of your own.
thanks for acknowledging janja.I'm good bro, nilikuwa busy kidogo kuanzia saa 4 usiku. But everything is good.
Chino you dream a lot janja, amkia basi kabla sija kuchapa kwenzi.thanks for acknowledging janja.
Usiwe bize sana, upate na mda wa kupumzika Ili ukue vizuri.
UmeshandikaSiandiki chochote
Bebe nang'o ntakulijahhh!Chino you dream a lot janja, amkia basi kabla sija kuchapa kwenzi.
Muda mzuri wa kulala sasasaa tano kamili za usiku kwa saa za africa mashariki
mda mzuri wa tafakuliMuda mzuri wa kulala sasa
Mpe salamView attachment 3474370
Kazi kazi wajuba
Muda mzuri ni kuanzia saa tisa, hapo ndio kuna tafakuri ya kina na yenye majibumda mzuri wa tafakuli
Huyo ni yule dogo alietred juzi kaiba sijui Nini sasa naona ameopoa😄Mpe salam