Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 44,224
- 96,085
00:02 I mean no malice to nobody
Intel style kama Kawa 🤣🤣00:44 intelli fvcking world
No body dares to do that bro when it comes to deal with Guru03:18 no competition
Naam, intelli style 😂Intel style kama Kawa 🤣🤣
Kiufupi kataa ndoa linda maisha yako.Mastory ya Bey
Changamoto nyingi sana za wanaume zinasababishwa na wanawake,naweza Sema asilimia 80 chanzo ni wanawake
Tunapambana sana na tunatumia nguvu nyingi kwa ajili ya hawa viumbe,ambao mwisho wa siku hawaoni thamani yetu,yani akija mwanaume mwenzako na dau kubwa anaonekana wa thamani kuliko wewe ambaye umesapoti kwa mda mrefu
Anakuja mwamba mmoja na hela zake kwa siku moja tu anapindua Meza na unaonekana si lolote
Kwa kutaka kupambania penzi lako ndio unajiiongezea changamoto zaidi,maana itategemea na mshindani wako ana nguvu kiasi gani ana uwezo kiasi gani
Tunaumiza familia zetu kwasababu ya wanawake,hatuwajali watoto wetu kwa sababu ya wanawake,hela ambayo ingesaidia familia yako na mkeo,unaenda kumhonga mwanamke
Wengine wanapoteza kazi kwasababu ya wanawake,unakimendea king'asti cha boss,mara paap boss anashtukia mchezo kibarua huna
Vipato vyetu kweli havitoshi lakini hali inakuwa mbaya zaidi pale tunapo tumia vipato hivyo hivyo vidogo kuhonga wanawake
Tuje kisaikolojia, tuna athirika sana, kwanza kibarua kinakuja kubalance mapenzi ya wife na mchepuko,wakati mwingine mchepuko ndio anataka awe juu zaidi ya wife,je hapo imekaaje?
Unashindwa kuwa na utulivu kwakuwa wewe ni mmoja lakini unataka kuishi maisha ya watu wawili tofauti, huku unataka kuishi kama innocent husband ambaye huna makando kando,na huku unataka kuishi kama mwanaume ambaye hajaoa
Kiroho nafsi yako ina tapa tapa,huku unajiona mkosefu mbele ya muumba wako,upande wa pili unajipa moyo kwamba utabadilika soon,lakini mwisho wa siku upo pale pale
Unaweza ongea mengi sana,lakini kama wanaume tukifanikiwa kudhibiti tamaa zetu na uchu wetu na kujiweka mbali na wanawake naamini kabisa tutakuwa tumepunguza asilimia 80 ya changamoto zetu
Ni juu yako kuchukua hatua.