JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Nyie bandugu mlikuwa mmefichana wapi? Kwanini mlinitesa hivyo kwa kuwahamu? Hivi mnajua sikula kabisa krismas kwasababu ya kuwamiss? [emoji18] [emoji18] [emoji18]
OHoooo pole darln wa sie
Ndo maana tulikuwa tunakuongelea sana hiyo siku. Ucjali utakuwa ni part ya mazoez ya umodo.
btw nilikumis. Hatuijarud rasmi
 
Back
Top Bottom