Nathan06
Senior Member
- Oct 7, 2016
- 149
- 163
kwema kabsa, nimeshakaribia MkuuKaribu sana mkuu. Kwema huko?
kwema kabsa, nimeshakaribia MkuuKaribu sana mkuu. Kwema huko?
Njoo nikufundisheMpira wenyew sijui kuangalia.kubet ndo ntaweza
Wapi hyOya oya sana huku mkuu
HahahahaaaaKwa mara nyingine tena comrade
Teh teh teh hunter wapi yule?
Aisee nilikuwa nakuheshimu sanaSilali na watoto..watalowanisha godoro
Yuko na mwalimu wake mpya @Mwifa watakua wako tuishieni kidogoNashukuru sana mkuu. Thad wapi huyu bibie
Haha alafu sahvAisee nilikuwa nakuheshimu sana
Lindo linalindwa mdo mdo mkuukwema kabsa, nimeshakaribia Mkuu
Niko poa sanaSi wazima afya. Hatujui kwako huko pamoja na sherehe hii ya kuzaliwa tena?
Wanatakiwa wawe wamelala SAA hz,maana starehe kwao mwisho SAA sitaHapo Kwa [HASHTAG]#ATUBU[/HASHTAG]
Sijui kwakweli alipopotelea, itakua hunter amekua huntedTeh teh teh hunter wapi yule?

Kitaa chetu cha popo na bundi humu ndani mkuuWapi hy
Umehalibu wema wote kwa jambo dogo sanaHaha alafu sahv
Jamaniii nisamehe bas nimekutaniaUmehalibu wema wote kwa jambo dogo sana
Hahahaha, nilikua napuyanga kule siasani,nikajikuta niko mitaa huu ,hapa safi nipe ratibaKitaa chetu cha popo na bundi humu ndani mkuu
WatakomaWanatakiwa wawe wamelala SAA hz,maana starehe kwao mwisho SAA sita