Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 9,869
- 32,710
Enhee uliyekojoa mpaka dagaa, lete mambo. Mlifanya style gani na gani?
02: 47
02: 47
Kwa nionavyo hapa ni mapenzi yanakutesa wee bintiUmeitupa nafasi moja ni nzuri sana, humpati mfuasi...
Sina haja nawe tena 🎵🎵🎵🎵
😂😂😂😂 Kwa sauti gani sasa utasema nipo kwenye dumu🤗🤗Jirecord Sauti yako Kwanza alafu isikilize kama mara 3 hivi ili ujue inafaa Sisi kusikiliza?
Jomba nchumali.. Itakua😂😂😂😂Enhee uliyekojoa mpaka dagaa, lete mambo. Mlifanya style gani na gani?
02: 47
Hahahhaha hiyo Sauti dhahabu Sisi wahuni tunapendaga mwanamke akiwa na Sauti ya base kimtindo😂😂😂😂 Kwa sauti gani sasa utasema nipo kwenye dumu🤗🤗
Ukiwa na Sauti nzuri Sana wahuni tunaona unatuektia Maisha😂😂😂😂 Kwa sauti gani sasa utasema nipo kwenye dumu🤗🤗
Oyaaa.. Wauni sio poa nyie😂😂😂 kunakitu hampendi kweli?Hahahhaha hiyo Sauti dhahabu Sisi wahuni tunapendaga mwanamke akiwa na Sauti ya base kimtindo
Sijawahi sumbuliwa na mapenzi, napenda pesa kuliko chochote. Nikiwa na pesa tu basi hata genye sisikii. Niko napendwa mpaka napendwa tena yaani ile deep uwiii sijui nikuhadithie? 😀😀😀😀Kwa nionavyo hapa ni mapenzi yanakutesa wee binti
Lilah😂😂😂😂JF njoo na bando, tabia utaikuta humu ndani.
02:50
Nimeenda chooni kukojoa nimerudi fasta kusoma comment yako.JF njoo na bando, tabia utaikuta humu ndani.
02:50
Ahah..acha tu. Maisha yana change sanaWee jamaa unakaufala flani hivi 😂😂
Kalala, nitamsalimu kesho. Thanks Mkuu
Hajakujua vizuri uyo 😂😂ukute anataka udalalia moyo wako😂😂😂😂😂Sijawahi sumbuliwa na mapenzi, napenda pesa kuliko chochote. Nikiwa na pesa tu basi hata genye sisikii. Niko napendwa mpaka napendwa tena yaani ile deep uwiii sijui nikuhadithie? 😀😀😀😀
Ukinihadithia nitaumia mana nitawaza jinsi unavyokunjaga namba 7Sijawahi sumbuliwa na mapenzi, napenda pesa kuliko chochote. Nikiwa na pesa tu basi hata genye sisikii. Niko napendwa mpaka napendwa tena yaani ile deep uwiii sijui nikuhadithie? 😀😀😀😀
Hebu mwambie kwanza mdogo wangu. Naona ni mgeni humu huyo 😀😀😀 hanijui kabisa.Hajakujua vizuri uyo 😂😂ukute anataka udalalia moyo wako😂😂😂😂😂
Kwahiyo wee umeamua kuwangaKalala, nitamsalimu kesho. Thanks Mkuu
Hayuko hapa, tuko na long distance relationship. Si nimekwambia nimestaafu mambo ya kukunja 7 toka 2022.Kwahiyo wee umeamua kuwanga