Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 12,973
- 25,582
0016
My people my team kama kawaida yetu....
My people my team kama kawaida yetu....
Tatizo la kupata usingizi (insomnia) ni hali ambapo mtu anapata shida kulala au kubaki usingizini, hata anapokuwa na nafasi na mazingira mazuri ya kulala. Tatizo hili linaweza kuwa la muda mfupi (kama siku chache hadi wiki kadhaa) au la muda mrefu (zaidi ya mwezi).Swala la kupata usingizi linazidi kua changamoto kadri siku zinavyosonga
Kuna dawa/tiba/suluhisho la hili tatizo wakuu?View attachment 3336567
okMy people my team kama kawa mida ya saa tisa flan hv kuelekea kumi
See you....
🎺03:17 I mean no malice to nobody
Raisi wa majobless leo umekaza sana lindoni06:12 lindo lime fungwa rasmi
Toka nijiunge jf, mimi napiga buti huku.Raisi wa majobless leo umekaza sana lindoni
Big up sana