Rayns
JF-Expert Member
- Jul 29, 2023
- 5,652
- 10,741
AwaapiHili ndo liuzi la wachawi sasa..😂
AwaapiHili ndo liuzi la wachawi sasa..😂
Mida imefika ya kusaini imefika humu au sio
Sisi wenyewe maboss🤣🤣Nimewatag karibia wote hamji tuu, naenda kuchonga kwa boss
Ndio maana mmeacha kibarua mshajipataSisi wenyewe maboss🤣🤣
Niaje kiongozi kwema bro
Sio kwema kaka 💯Niaje kiongozi kwema bro
Wahi mbele wahi mbele
💯Wahi mbele wahi mbele
kunani mkuuSio kwema kaka
Wanasema usidharau nazi kwani embe tunda la msimu,kwahiyo bado tunachungulia kibarua chetu,ili mambo yakibuma tunajiongeza kibaruaniNdio maana kimeacha kibarua mshajipata
Nimepoteza riziki mkuukunani mkuu
Usisahau kama hapa ni nyumbani 💯Wanasema usidharau nazi kwani embe tunda la msimu,kwahiyo bado tunachungulia kibarua chetu,ili mambo yakibuma tunajiongeza kibaruani