Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,407
- 102,439
nili kwambia u snitch wako uta kuponza 😁😂Ushaharibu kenge wewe
nili kwambia u snitch wako uta kuponza 😁😂Ushaharibu kenge wewe
Sema haina shida nafanya comebacknili kwambia u snitch wako uta kuponza 😁😂
oya haji m niaje?Sema haina shida nafanya comeback
Tuma chapu baada ta dak 5 unafuta
Mimi hapana aisee!
Wazee wa ku-quote wapo hapa.Tuma chapu baada ta dak 5 unafuta
Hapo JF wanapaswa waje na update kuondoa hiyo kadhia.Wazee wa ku-quote wapo hapa.
Inatisha aisee.
Ile ya kule Mwanza, yule kaka aliyekuwa anamrekodi mwanamke wake akimng'oa antena kwa kutumia praizi live.Mimi hapana aisee!
Ni ipi kwani?
Ban sio nzuri ikwepe uwezavyo
We!Hapo JF wanapaswa waje na update kuondoa hiyo kadhia.
Lakini tuma hatutaquote🤣
Ohhh!Ile ya kule Mwanza, yule kaka aliyekuwa anamrekodi mwanamke wake akimng'oa antena kwa kutumia praizi live.
Yaani anakibana na kukivuta mpaka anaking'oa.
Nasisimka aisee.
Mambo ya fumanizi.
KabisaOhhh!
Japo sijaisikia lakini mimi binafsi siwezi kuangalia tukio la ukatili hata mara moja.
Labda igizo , ila tukio la kweli hapana.
Ila ya nini yote hayo kumuumiza mwanadamu mwenzako kwa sababu ya maslahi yako!
Ubinafsi ni tatizo kubwa mno kwa binadamu.
Ndio kama hivi bro.Mnakesha Kweli humu waungwana?
Mipango inasemaje lakiniNdio kama hivi bro.
Asubuhi ndio inatutoa hapa.
Alihamdulillah, tupo siku nyingine ya Ijumaa, yote ni heri ndugu yangu.Mipango inasemaje lakini
Jua bado halijatoka mkuu inakuwaje ijumaa?Alihamdulillah, tupo siku nyingine ya Ijumaa, yote ni heri ndugu yangu.