Pendaelli
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 12,105
- 35,138
Ndio kama hivi bro.Mnakesha Kweli humu waungwana?
Asubuhi ndio inatutoa hapa.
Ndio kama hivi bro.Mnakesha Kweli humu waungwana?
Mipango inasemaje lakiniNdio kama hivi bro.
Asubuhi ndio inatutoa hapa.
Alihamdulillah, tupo siku nyingine ya Ijumaa, yote ni heri ndugu yangu.Mipango inasemaje lakini
Jua bado halijatoka mkuu inakuwaje ijumaa?Alihamdulillah, tupo siku nyingine ya Ijumaa, yote ni heri ndugu yangu.
Kalenda inasema sasa ni ijumaa tarehe 21 saa sita na dakika arobaini na sitaJua bado halijatoka mkuu inakuwaje ijumaa?
Duh!Jua bado halijatoka mkuu inakuwaje ijumaa?
we subiri jua siku ishageuka hiyo 21stDuh!
Wengine ilishageuka kitambowe subiri jua siku ishageuka hiyo 21st
Mkuu ukiwa huna Hela alafu bado ukafata mambo ya kalenda inakuwa haivutiiKalenda inasema sasa ni ijumaa tarehe 21 saa sita na dakika arobaini na sita
Safi0140Hrs