Mama pretty
JF-Expert Member
- May 1, 2020
- 2,289
- 4,648
02:33 hrs lindoni👀
Thanks thanks .Pole 😎
Back in the days, usiku wa manane uli kuwa mwananana Sana.Unataka nije nikufanyie assassination, kisa unachezea treasure zangu Bantu Lady and Dahan
Ndoa mkuu, kataa ndoa hamuwezi elewa hili.Back in the days, usiku wa manane uli kuwa mwananana Sana.
siku hizi mme kuwa wavivu na wengine kuto onekana kabisa.
Cc Bantu Lady, Dahan, Half american
Dah hongera sana mkuu, maan nilisha sahau kama Umesha oa.Ndoa mkuu, kataa ndoa hamuwezi elewa hili.
Ushaharibu kenge weweDah hongera sana mkuu, maan nilisha sahau kama Umesha oa.
haya shemeji yangu binti kiziwi njoo umpongeze mdogo wako Half american Kwa kutimiza jambo la kheri