Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 44,224
- 96,108
01:38
Jana na leoWakuu mkwap
mi niko bar nalewaNimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa usingizi.
Muda wa jukwaa ni kuanzia saa 6 usiku mpaka 11 asubuhi. Mimi hapa leo tangu nimeamka nimeamua KUFANYA IBADA Tuuuu!
hiyo jogging ya chumbani uko na naniAmkeni jamani,mbona kimya! mi leo nafanya joging chumbani mpaka asubuhi....