See For Me
JF-Expert Member
- Sep 7, 2022
- 630
- 1,815
00:34 harakati na wakati zinapo tupa na ku pack
Night Pro Max00:34 harakati na wakati zinapo tupa na ku pack
00:34 harakati na wakati zinapo tupa na ku pack
Night Pro Max00:34 harakati na wakati zinapo tupa na ku pack
02:00 niite raisi wa chama Cha ma jobless pro maxNight Pro Max
SawaNa test mitambo
Njoo Msasani Beach hukuNdugu zangu leo nipo stendi ya magufuli hapa, aisee watu wa daslam ni hatarii
Huko msasani beach napajua Sasa?, maana mi mgeni hili jiji.Njoo Msasani Beach huku
Hahahaha, nikutakie Siku njemaHuko msasani beach napajua Sasa?, maana mi mgeni hili jiji.
halafu niko na mizigo ya mbuzi , jogoo1, mihogo gunia 1 na unga wa dona.
Aisee na wewe night watchman mwenzangu, Ume amua kuni kimbia kiutu uzimaHahahaha, nikutakie Siku njema