Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 12,581
- 23,733
makutupora Bolotoba mnalalaje ? Bolotoba tuamke sasa tuwahi machinjioni ndo muda!
Umelala stendi🤣🤣🤣🤣02:13 I mean no malice to nobody
Ndio naamka hapa, aisee kelele za hili jiji siziwezi kabisaUmelala stendi🤣🤣🤣🤣
Mawindo gani?, daslam mbona hakuna pori?3:43 muda wa mawindo
😹
😹😹😹We mgeni Jijini badoMawindo gani?, daslam mbona hakuna pori?
Aisee kazi juu ya kazi😹😹😹We mgeni Jijini bado
LINDO linaanza mapema ila mshahara unachelewa kutokaLindo limeanza mapema hivi
[emoji1787]LINDO linaanza mapema ila mshahara unachelewa kutoka
Nikusaidie kuunganisha au nikupe gwanda la lindo.Lindo km Lindo!!
Leo usingizi umekata kabisaa, aaah
Aaaaah wapiiiii .... Leo ntaondoka na Mali za boss[emoji1787]
Pesa za mshahara naskia waliweka LBL tuwe wavumilivu.
Boss mwenyewe anaitwaAaaaah wapiiiii .... Leo ntaondoka na Mali za boss
Mlinziii Mimi
Mwizi Mimi Leo
Aaaah Wee!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nikusaidie kuunganisha au nikupe gwanda la lindo.
[emoji23]