Tajiri Mwehu
Member
- Oct 5, 2023
- 65
- 114
Wewe ni Mwanachama mwenzangu ..... Au unaniekea mkaa kwa Juu wali Uive Vizuri mkuu 🙂😃Haiwezekani,pombe zako ukimaliza warudi home….kwani umeua mtu mkuu…..hizo story za moto zisiwatese bure mkuu
Wewe ni Mwanachama mwenzangu ..... Au unaniekea mkaa kwa Juu wali Uive Vizuri mkuu 🙂😃Haiwezekani,pombe zako ukimaliza warudi home….kwani umeua mtu mkuu…..hizo story za moto zisiwatese bure mkuu
Hapana mie siyo mnywaji ila huwa sipendi mtu ajinyime starehe yake kwa masimulizi ya biblia au watu….hapana hapana…kilakitu tumia kwa kiasi basi maisha yananyookaWewe ni Mwanachama mwenzangu ..... Au unaniekea mkaa kwa Juu wali Uive Vizuri mkuu 🙂😃
Hapo kutumia kwa kiasi ndo Shughuli Ipo!!! 😑😑😑Hapana mie siyo mnywaji ila huwa sipendi mtu ajinyime starehe yake kwa masimulizi ya biblia au watu….hapana hapana…kilakitu tumia kwa kiasi basi maisha yananyooka
Mie kilevi changu udongo😂😂😭😭Hapo kutumia kwa kiasi ndo Shughuli Ipo!!! 😑😑😑
Aliyefariki kaka ake na Harrison MwakyembeKwani kafariki?
Kwann unanicheka ?🤣🤣🤣 na ndiyo maana nikacheka kwanza
Anha kumbe….sielewi kitu hapa…sijasikiaAliyefariki kaka ake na Harrison Mwakyembe
Ni kama kakuona alivyosema wanaotumia kileo mpaka kucheKwann unanicheka ?
Inaleta Minyooo mibaya Hio Mkuu😃Mie kilevi changu udongo😂😂😭😭
Yaan ni shida sanaInaleta Minyooo mibaya Hio Mkuu😃
Kwahiyo gunia la Unga Vs Udongo unasepa na Gunia la udongoYaan ni shida sana
Kabisa 🤣🤣🤣Kwahiyo gunia la Unga Vs Udongo unasepa na Gunia la udongo
Sema watu wanaokulaga udongo wanakuaga wabahili sanna!!😃 Alafu uwezi kuta ni mneneKabisa 🤣🤣🤣
Mie ni kifutu mkuu…udongo nimeanza kula mtoto wa pili kumpata nahisi wakati anakuja kwa dunia nilimwaga madini mengi mnoSema watu wanaokulaga udongo wanakuaga wabahili sanna!!😃 Alafu uwezi kuta ni mnene
Dah hatari!! Watu wanakula udongo wakiwa na ujauzito .... Ww umekula baada ya kumleta!! Umeamua kwenda Kinyume na Wenzio...Mie ni kifutu mkuu…udongo nimeanza kula mtoto wa pili kumpata nahisi wakati anakuja kwa dunia nilimwaga madini mengi mno
Dah!! Kifutu... 😃😃🤣Mie ni kifutu mkuu…udongo nimeanza kula mtoto wa pili kumpata nahisi wakati anakuja kwa dunia nilimwaga madini mengi mno
Dah!! Kifutu... 😃😃🤣
🤣🤣🤣🤣hatareeDah!! Kifutu... 😃😃🤣
Ahsante kipenziAmina….karibu mbeya cute
The green cityAmina….karibu mbeya cute